Mapenzi ya mwisho wa mwezi ni feck

Mapenzi ya mwisho wa mwezi ni feck

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Kwa wale wafanyakazi wanaotegemea mshahara ukiona una mpenzi ambaye kipindi chote hakutafuti wala kukujulia hali mpaka karibia na mwisho wa mwezi ambapo anajua unapata pesa ndo anaanza sms za mara kwa mara kuwa amekumiss pia kutaka miadi ya kukutana naye ogopa kama ukoma hao ni matapeli wa mapenzi.
 
amna haja ya kuogopa mwazo wa mwezi anakuwa bussy na kazi ila mwisho wa mwezi kazi zinakuwa zimepungua
 
umenifungua macho mkuu,maana wa kwangu kipindi chote nkimtafuta naambiwa namba iko busy,lakin mwisho wa mwezi anapatikana vizuri kbs.
 
Kwa wale wafanyakazi wanaotegemea mshahara ukiona una mpenzi ambaye kipindi chote hakutafuti wala kukujulia hali mpaka karibia na mwisho wa mwezi ambapo anajua unapata pesa ndo anaanza sms za mara kwa mara kuwa amekumiss pia kutaka miadi ya kukutana naye ogopa kama ukoma hao ni matapeli wa mapenzi.

Wana msemo wao siku hizi "no money no honey"
 
acha ubahiri dogo, wewe hujui raha ya kuhonga eti? nzishe zako!!
 
umenifungua macho mkuu,maana wa kwangu kipindi chote nkimtafuta naambiwa namba iko busy,lakin mwisho wa mwezi anapatikana vizuri kbs.
Tapeli wa mapenzi huyo hafai kuitwa mpenzi.
 
acha ubahiri dogo, wewe hujui raha ya kuhonga eti? nzishe zako!!
Tuliza kichwa chako cha juu soma vizuri mada ujue inaongelea nini usikurupuke kijana. Hapa mada haihusu ubahili inaongelea mapenzi ya kutafutana mwisho wa mwezi tu kunako mshahara.
 
Wengine tunalipwa mwanzo wa mwezi kabla kazi haijaanza.

Nadhani hapa tumeponyoka
 
Back
Top Bottom