Kwa walio kwenye ndoa zingatieni haya

Kwa walio kwenye ndoa zingatieni haya

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Mwanamke ni kama jiko la umeme au pasi ya umeme ila mwanaume ni kama jiko la gas. Ukifanya kikuku kuku unategemea nini? Kumuumiza? Ajute?

Mwanamke kibiologia anapenda sana kuwa huru na mumewe, kwa hiyo msipende kujaza bandugu zenu pindi ukiishi na mke wako. Privite kati yenu muhimu sana, ndugu wasaidie siyo lazima kuwajaza kwako.

Wake kwa waume kuweni huru na vipato vyenu, mali zenu, matumizi yanu yaeleweke ili trust iwepo na amani iwepo kati yenu la sivyo itakuwa ni shidaaa!!! Kuna jamaa alimfukuza mke wake kwa pastola baada kufahamu mke wake kajenga nyumba kinyemela.

Yale mambo ya kitoto kitoto ndio hasa mwanamke anapenda, ukikaa naye kwa sitting room just mwambie Baby umemuona mjusi wa blue kapita na maneno kama hayo.
 
au baby nisemeshe basi hata kama hana la kusema unalazimisha.... raha sana.... au kumshika mkeo kalio kama unamchapa vile yani inatia hamasa kwa kweli
 
Unaweza mwambia hivi. Baby!! Miezi miwili imepita sijasikia kijambo chako, just do it for me to day please, nimekimiso
 
Mwanamke ni kama jiko la umeme au pasi ya umeme ila mwanaume ni kama jiko la gas. Ukifanya kikuku kuku unategemea nini? Kumuumiza? Ajute?

Mwanamke kibiologia anapenda sana kuwa huru na mumewe, kwa hiyo msipende kujaza bandugu zenu pindi ukiishi na mke wako. Privite kati yenu muhimu sana, ndugu wasaidie siyo lazima kuwajaza kwako.

Wake kwa waume kuweni huru na vipato vyenu, mali zenu, matumizi yanu yaeleweke ili trust iwepo na amani iwepo kati yenu la sivyo itakuwa ni shidaaa!!! Kuna jamaa alimfukuza mke wake kwa pastola baada kufahamu mke wake kajenga nyumba kinyemela.

Yale mambo ya kitoto kitoto ndio hasa mwanamke anapenda, ukikaa naye kwa sitting room just mwambie Baby umemuona mjusi wa blue kapita na maneno kama hayo.

Hilo kwenye RED lizingatiwa kwa ndugu wa pande zote mbili! Isiwe kwa ndugu wa mmojawapo tu.
 
Madhara ya kuchelewa mautundu mwanzoni kabisa mwa ndoa. miaka 10 ya ndoa hujawahi mshika makalio then wa 11 ndio unajifanya mbunifu, unategemea jibu gani?

sometimes kisirani chake tuuu,,,,
 
Hilo kwenye RED lizingatiwa kwa ndugu wa pande zote mbili! Isiwe kwa ndugu wa mmojawapo tu.
Ukweli na kwambia na hivi ndivyo ndugu zetu walivyo umbwa na wala siyo tabia ya mtu binafsi. ndugu wa mwanamke hawana tatitizo kwa mwanaume ila wa mwanaume wana tatizo kwa mwanamke na usiwalaumu hii ni nature yao
 
Back
Top Bottom