Kuku na yai

Kuku na yai

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Yaweza Kuwait swali rahisi sana lakini ukashindwa kujibu Kuwa kati ya kuku na yai ni kipi kilianza ?
 
kama lingeumbwa yai lingehitaji kutamiwa hadi litotoe..but lord akaliona hilo then akaamua kuumba kuku kwanza ili atage,atamie then atotoe..

ushapata jibu..
 
kama lingeumbwa yai lingehitaji kutamiwa hadi litotoe..but lord akaliona hilo then akaamua kuumba kuku kwanza ili atage,atamie then atotoe..

ushapata jibu..

Kasaloo umenena vema
 
Back
Top Bottom