Wakuu kwema?
Jamani tumezoea kuona sherehe kubwa na zenye mbwembwe zikifanyika hasa za kuoana, lakin pindi wanapoachana inakua bifu ya kufa mtu hata inafikia hatua ya kutishiana amani hasa kwa...
Ndoa au Mahusiano Yoyote ya Kimapenzi
ni mfano wa Bank Account tulizonazo.
Unapopata mwenzi wako ni kama vile umefungua Bank Account na katika kuendelea na maisha au relationship kila siku...
'Ndoa ya Obama Ilikuwa Chupu Chupu Kuvunjika Mwaka 2000'
Rais Obama na Mkewe enzi zao za ujana
Imegundulika kuwa ndoa ya rais wa Marekani Barack Obama na mkewe Michelle ilikuwa kwenye mashaka ya...
Mapenzi yanatesa sana wakuu yaani huu ni mwaka wa kumi ninamwaga machozi tu nakumbuka tangu kikwete anaanza kampeni na mimi ndio nilianza harakati zangu za mahusiano.
Nimekuwa na wengi katika...
Habari wana jukwaa naomba mnishauri,
Nilitokea kumpenda sana binti mmoja wakati niko A level nilikuwa nasoma nae darasa moja ila michepuo tofauti mimi nilikuwa PCB na yeye alikuwa CBG Kibaya...
^^
Furaha ya maisha ya ndoa haiji kwa bahati, ni matokeo ya juhudi umakini na kushirikisha imani uliyonayo.Katika mambo unayopaswa kuyaepuka unapotaka kuruhusu maisha ya ndoa ni haya yafuatayo...
13 Julai 2014, 2200hrs
Miaka mingi iliyopita, zamani sana. Miaka hiyo binadamu aliweza kuongea na wanyama na wakaelewana.
Miaka mingi kabla binadamu hajaanza kufikiria kujenga mnara wa Babeli...
Habari zenu wadau, ni mara ya kwanza kuandika uzi.
Msaada kwa hili,
Nina rafiki zangu naomba niwaite X na Y.
X he is my childhood friend till now ana mchumba wake naomba nimuite Z. Huyu Z mimi...
1.Mwombe Mungu akupe mke/mume mwema.
2.Ukimpata mwenzi wako mweleze ukweli kuhusu maisha yako usimfiche chochote maana ukimdanganya iko
siku utaumbuka maana utaishi nae atajua kila kitu...
Habari za mida hii wana JF.
Katika kupita kwangu hapa na pale katika shighuli zangu za kila siku, nimekumbana na mzozo ulioenda shule.
Jamaa mmoja (mwanaume) jina lake kapuni, wamekuwa...
Nina rafiki ameolewa na ana mtoto mmoja. Tatizo ni anamfumania mme kila mara, ijumaa mme kaenda kazini karudi jumamosi .
Mke anataka kuondoka.
Nimshaurije?
hello jf
nimejifunza jambo hili moja kwamba wanawake waliona kazi na waliokwenda shule siyo wife material kwa sababu eti huthamini kazi kuliko waume zao hivyo basi huishia kuachika mapema
je kweli?
Abusu Makalio ya Mkewe, Chupu chupu Kutupwa Jela
Mwanaume huyo ambaye jina lake halikutajwa kutokana na sababu za kisheria mwenye umri wa miaka 48, alikiri kosa lake na kuomba msamaha na hivyo...
.........A......
mabingwa wa MMU
Wababa wamama na wadogo zangu msishangae naingia na ID mpya kwa sababu ya unyeti wa jambo lenyewe please mnielewe. niko njia panda na kama nisipopata mwelekeo...
Yawezekana bado uko kwenye kutafuta mume/mke w a kuishi nae
yawezekana unasubiri mume ama mke kutoka kwa bwana
yawezekana umri wako umekwenda lakini bbado ujaona anaekufaa
yawezekana umekataa...
Nawasalimu Wakuu wa Hili Jamvi!
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Nicheke Niongeze Maisha Mie!
Kama kawaida kama dawa, sikuwa na mpango wa kuuleta huu Umbea uliothibitishwa humu ila nikaona itakuwa...
Siku zote mwanamke ndiye mlezi wa kwanza wa mtoto. Hii maana yake ni kwamba mtoto mdogo mara nyingi anashinda na mama yake na ndiye anayetegemewa kumfundisha mtoto kipi chema na kipi kibaya ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.