Ukisikia siku za stress kwa wanaume mjini ni wiki end inapofika aisee kina dada utasikia nataka kwenda saloon,ooh nirushie vocha,mara lunch,ikija bill anatambua macho kama kiboko au mamba.Halafu...
Habari za asubuhi, hii nimeitoa kwarafiki yangu wa facebook:
MAMBO AMBAYO WANAUME HUWA TUNAYAFANYA ILI KUWATEST WANAWAKE KAMA WANAFAA KUOLEWA OR NIENDELEE KUWA NAE KAMA BOKO HARAMU:
1. Ukienda...
Hello JF
Nimegundua kitu juu ya wanawake kwamba wapo strong kukabiliana na majukumu than men embu chukulia mfano kina baba wangapi walishatelekeza familia lakini bado familia inasonga mbele...
Habari za jumapili wadau wa jukwaa hili....
Hii tabia imenishinda kuacha, iko hivi....
Iwapo akatokea mtu wangu wa karibu iwe mpenzi/mshikaji/shost ana shida fulani huwa nakuwa mwepesi sana...
Wana bodi mambo,
Baada ya kupata kimwana cha kinyarwanda na kupata ushauri hapa kuwa nikachukue, basi nimeamua kabisa kufunga safari kwenda nchini Rwanda kujitamburisha.
Basi kutokana jambo hilo...
Wana JF,
Katika familia zetu, unaweza kujua kuwa huyu mwanamke ana gubu kufatana na matendo yake, ingawaje hatujui nini hasa kinamfanya mwanamke kuwa na gubu.
Katika kudadisi wanawake wengi...
WanaJAMII kumradhi!
Mods wame-edit title ya hii story, wao wanasema hii ni hadithi, si kweli, hii sio hadithi, huu sio utunzi! waambieni Mods warekebishe title!
Nlikua na mpenzi wangu nampenda sana cha ajabu kaniacha nakuoa mwanamke mwingine na akuna nilichowahi mkosea alinbadirikia ghafla.
Nkakumbuka ule usemi wa unaempenda akupendi, tatizo ni bado...
Wanawake wengi wanaonekana warembo uwanjani hamna kitu kabisa, ndio maana utakuta mwanamke mzuri lakini haolewi yupo tu nyumbani anazeekea home kila mchezaji anayemsajiri akicheza mechi moja...
Why are all the good girls, taken every time?
And why do I keep falling for someone else's dime?
Everytime I says hello, they say Goodbye....
So why are all you good girls taken everytime...
Habar zenu wakuu
Nimekaa apa leo ninawaza toka nimekuwa na mpnz/nama x wapnz wte huwa lazma watoe pesa za matumizi madg madg au wengne hufika mbali na kusema kuongwa
Ukipiga hesabu inweza ikawa...
Ni hivi mimi ni kijana mwenye miaka 28, nilipata mchumba wangu ambaye mwanzoni tulikuwa tunaishi vizuri baadhi ya ndugu zangu wanamfahamu. Lakini yapata karibu miezi minne hivi mahusiano yetu...
Nimefurahi sana baada ya kupata mpokeo mzuri sana kwenye hii teamrafiki. Kwa heshima kubwa thanks to all who accept me in this team, ur most respected.
I have alot to learn from you...
Vyuoni utasikia mwanadada mrembo akitokea darasa limemkubali na hashikiki wenzie huanza kumkandia ya kuwa hizo ni "maksi za chupi"
Hivi kuna ukweli hapo au ni wivu wa "sizitaki mbichi hizi"...
Jamani naomba mnisaidie namna ya kuepusha kumpa mimba msichana,nahitaji kujua may be formula ya kuweza kutumia ili kukwepa ukiwa unakula nyama kwa nyama(namaanisha without using condom).
Si...
Hivi sasa watafiti wengi wameonyesha kukubaliana na jambo hilo. Wanasema kwamba, wasichana wengi hubabaika na kufanya mambo yenye kuwaumiza kutokana na hofu kwamba, muda unakwenda haraka na...
Wakuu kwema?
Jamani tumezoea kuona sherehe kubwa na zenye mbwembwe zikifanyika hasa za kuoana, lakin pindi wanapoachana inakua bifu ya kufa mtu hata inafikia hatua ya kutishiana amani hasa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.