Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,079
Habari zenu wadau, ni mara ya kwanza kuandika uzi.
Msaada kwa hili,
Nina rafiki zangu naomba niwaite X na Y.
X he is my childhood friend till now ana mchumba wake naomba nimuite Z. Huyu Z mimi ndo nilimtambulisha kwa X (sababu nilikuwa na-date na rafiki ake ila tushaachana), so wakawa wapenzi almost 3 years now
X na Z wanashirikiana mambo mengi kwa kuwa wana malengo ya kuoana na he is real fall in love.
Hapa nitamzungumzia Y he is my collage mate , same class, and my roommate tulipokuwa first year. Baada ya kuchukua likizo ofisini akaniita Mwanza nikamuone shemeji angu.
Niliingia Mwanza mida ya jioni tukakutana Victoria Prince sababu ndipo alipochukua room yake pamoja na yangu, mida ya saa mbili wakati tunapata vinywaji tukimsubiri mchumba ake afike, Y akapokea simu baada ya kukata akaniambia "shemeji ako amefika nisubiri nimlete" baada ya dakika kadhaa akaja naye sasa wakati ananitambulisha ndipo shida ilipoanza sababu msichana aliyenitambulisha alikuwa Z.
Tukabaki tunaaangaliana kwa bahati nzuri/mbaya akaja mhudumu kuuliza kama alete kabisa chakula, Y akaondoka naye mpaka jikoni. Sasa tukabaki mimi na Z, she beg to me much kwamba nisimwambie Y wala X sababu anawapenda wote na hajui kwanini imetokea hivyo na hataki kumpoteza yoyote kati yao, aliporudi Y tukaendelea kupiga story na kula chakula baada ya kumaliza kula nikaaga nikaenda kulala.
Baada ya siku mbili nikawaaga nikarudi zangu home. Z ilikuji-protect akampigia simu X kwamba ameniona Mwanza, X akaniuliza nikamjibu "ndiyo" hakuwa na maswali mengi ingawa wala hakupatwa na mashaka sababu mwanza ni kwa dada ake na Z.
Sasa tatizo liko hapa
X anajulikana hadi kwa wazazi wa Z na tayari tushajiandaa kula "Mchele" yaani harusi next year ndiyo mipango iliyopo so nahofia kumwambia hili sababu he is just like my sibling, na pia X anamuamini Z. I am in dilemma
Y ametambulishwa kwa Dada ake Z, jamaa kila mara ananisisitiza atamuoa Z anytime hata next month iwapo tu akijitambulisha kwao. Nahofia kumwambia ukweli kuhusu uhusiano wa Z na X sababu Y siyo rahisi ku-give up a love, still in dilemma
Z she still beg to me hadi analia ananifanya nimuonee huruma sababu she play a big part kulirudisha penzi langu na rafiki yake ingawa halikufanikiwa kurudi, still nipo dillema
Kinachonifanya niwe mbali nao kwa sasa na kujifanya niko busy na world cup ni kwamba wote (Y, Z na X) nawafahamu vizuri kabla ya wao kuwa katika hii love cycle yao.