Sabah Muchacho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sabah Muchacho

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Game Theory, Dec 10, 2008.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Nlikuwa na uliza hivi huyu Bibie keshaolewa au la?
  [​IMG]


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kaolewa na Muchacho...
   
 3. D

  Darwin JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2008
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kaolewa ila ana mtoto wake changu kama nini
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  inaonyesha umempenda wewe? Tamba hilo......
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kama hujui kitu bora ukae kimya.

  Muchacho ambae ni maarufu sana Tanzania kwa watu wa zamani, kaka yake Sabah, kwa jina anaitwa Abdulrahman na alikuwa meneja wa timu ya simba iliyokuwa na mafanikio makubwa sana wakati wa awamu yake, enzi hizo za 70s.

  Sabah, amewahi kuolewa na mume wa kwanza jina Hussein, nae ni marehemu, waliachana kabla hajafa. Na akaolewa tena na Mume mwingine aitwae Salum, huyu ni mpiga kinanda maarufu wa taarab hapo miaka ya nyuma, nae ikatokea kuitwa kwa umaarufu wa Muchacho kwa ajili ya mkewe na si yeye mwenye jina hilo la Muchacho.

  Jina la Muchacho alilipata huyu meneja wa Simba, kutokana na sinema za zamani za ki western "cowboy", kuna actor maarufu aliyekuwa aki act kama Gang Leader wa ki Mexicano (Fernando Sancho) na alikuwa akilitumia sana hilo neno Muchacho.

  Kwa umbo la huyo mcheza filam Fernando Sancho na ni gang leader, na kwa kuwa Abdrahman Muchacho ni kaka mkubwa na mwenye umbo kubwa kama la Fernando Sancho, katika ukoo wao wenye vijana wa kiume wengi sana, na mwanamke mmoja tu Sabah, basi hilo jina la Muchacho likamkaa na mpaka kesho ni umaarufu wake huo na hakuna mtu wa zamani wa Tanzania na mpenda soka asiyemjuwa Muchacho. Pia Abdrahman muchacho ni mpenzi wa Taarab na alikuwa muimbaji, nadhani bendi yao ya kwanza ilikuwa ikiitwa MAMESH iliyomilikiwa na Ahmed Azzan, na hapo walikuwa wana waimbaji watatu na wote ndugu, Sabah, Abdrahman na Ibrahim Muchacho (Marehem) na ndipo alipopatikana mpigaji kinanda Salum ambae akaja kumuoa Sabah na akajulikana kama Salum Muchacho.

  Sabah ana mume na watoto watatu, Samira, Nuru na Ahmed. Samira na Nuru wameshaolewa na wanaishi nje ya Tanzania, Ahmed bado anasoma (secondary).

  Kwa hiyo ukweli ni kwamba mumewe Sabah ndiye aliyechukuwa jina la umaarufu la kina Muchacho kutoka kwa kina Sabah na si vinginevyo.

  Habari za siku nyingi Game Theory. Umeadimika!
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Usilolijuwa ni usiku wa kiza. Sabah ana watoto wawili wa kike na wote wameolewa na wako kwa waume zao nje ya Tanzania. Mmoja US mmoja Canada.

  Wacha kutukana watu usiowajuwa na kuwaharibia character zao. Huo ni ujinga wa hali ya juu.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Usipaniki mkuu kwani vicheche hawaolewi??
   
 9. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Duh mkuu una data utadhani WIKIPEDIA
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hapana nnawajua ni watoto wema sana. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mzizi Mkavu wewe chiboko!! Uzi wa mwaka gani? Ume mmiss saana jamaa? lol....
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mwaka 2008 ulikuwa wapi?
   
 13. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mbona maelezo mengi:eek:
   
 14. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2014
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  asante kwa ufanunuz mzuri..
  cc FaizaFoxy
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2014
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Inna li Llahi wa Inna Illahi Rajiun, Muchacho, meneja wa zamani wa simba anaeongelewa hapo amezikwa jana.
   
 16. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2014
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Huyo Muchacho wa Simba aliefariki ndo huyo aliyetajwa na Zomba kwa jina la Abdurhaman?
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Apr 27, 2014
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Haidary muchacho je ni yupi?
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2014
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Haidary Muchacho alikuwa mchezaji wa Simba hana uhusiano na kina Sabah Muchacho zaidi ya kujuana tu.
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2014
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Naam, ndio yeye.
   
Loading...