Inaumiza lakini ni tamu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inaumiza lakini ni tamu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Sep 27, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  Yawezekana bado uko kwenye kutafuta mume/mke w a kuishi nae
  yawezekana unasubiri mume ama mke kutoka kwa bwana
  yawezekana umri wako umekwenda lakini bbado ujaona anaekufaa
  yawezekana umekataa tamaa na ndoa baada ya kuona ndoa za sikuhizi na vituko vyake

  kwa kifupi mchana huu napenda kukujjulisha ujachelewa kabisa..ni ngumu na inaumiza kusubiri mtu usiemjua lakini utakapompata machozi yote yatageuka furahaa
  ndugu yangu usiwe na haraka ni kweli labda familia inakulazimisha kufunga ndoa
  umri umekwenda wadogo zako wanazaidi kuoa ama kuolewa leo hii nakujulisha usiwe na haraka elekeza sala zako kwa mungu .mungu huwa ashindwi na lolote ni kweli kibinadamu utaumia lakini ipo siku utapata mwanandoa sahihi na kusema yesu ni bwana

  naamaanisha wapo waliokimbilia ndoa kwa sababu mbali mbali na kuishia kuwa na sherehe kubwa tu na watu kuweka historia ya kunywa na kwenda msalani mara kwa mara bila kipimo...wapo waliochoka na ndoa wakaamua kuhama na nchi yetu hii hii tanzania wakijua susuluhisho liko nje ya nchi la hasha...mungu anatupenda...niwape mfano mmoja

  wakati nikiwa namwomba mungu anipe mke sahihi mama yangu mzazi alinihimiza sana kuoa mwaka unapita bila ndoa unakuja mwingine akasema unajua wanaume mnazeeka araka nkamwambia shaka akuna ;;kwa unaejua unahsi anataka mjukuu lakini aangalii matatizo ntakayopata nikiwa na mjukuu wake kama ntakimbilia mwiba nisiojua umetokea wapi

  nakumbuka sikumoja tumetoka chachi akanitengenezea mlo mzuri sana nikasikia msichana anaingia ndani anakuja kunsalimu nikamsalimia..yule dada mungu amsaidie aliishia kusikia hivi baibo ina vitabu vingapi ...hivi ibrahim alikuwa mtu wana mna ganina mengineyo kabla ya kusema anaenda msalan na kuunga nje;;nikamwambia mama siangalii msharika nataka mke sahihi leo hii niko na kabinti kazuri kutoka kwa bwana tumefunga ndoa nzuri mungu ametujalia mtoto ukimwona utasema bikira.....lakini yote ni upendo wa kweli ..wapo wanaume baada ya wake zao kuzaa wanadai mi nataka umbo la nane siwezi 16* 16 hivi ujui mwanao ndio alikaa kwenye 16 * 16 kabla ya kuzaa alikuwa nane..leo hii naipenda 24 * 24 yangu mpaka basi

  usiwe na haraka kuwa mvumilivu.......mume wako mke wako yupo ni wewe kupiga goti mke sahihi haji hivi hivi ama kwa kwenda kuokota bar no unaitaji nguvu ya mungu kupata mtu sahihi.....

  Mungu awabariki
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,171
  Trophy Points: 280
  mume wako mke wako yupo ni wewe kupiga goti mke sahihi haji hivi hivi ama kwa kwenda kuokota bar no unaitaji nguvu ya mungu kupata mtu sahihi.....
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Speak to god
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  oooooooooooooooooooohhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh yeeeeeeeeahhhhhhhh!!!!!!!!!!!
  Never say bye
   
 5. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Pdidy mpaka umempata huyo mke sahihi kutoka kwa mwenyezi mungu ulikuwa tayari una umri gani?
   
 6. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kama nakujua vile..........!!!!????
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  30.5 yrs
   
 8. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Tatizo watu wanaangalia uzuri wa sauti na si mapenzi, wengine wanaanzia kwenye kupenda kuanzia mvuto wa kikuku mguuni yaani balaa yaani dah ngoja niishie tu hapa,duniani hapakosi vituko! Hehehe!
   
 9. THE BRAIN

  THE BRAIN Member

  #9
  Sep 28, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  P.DIDY Ulichokisema ni cha kweli kabisa m2 mzima but now a days swala zima la kipigagot kwa Sir GOD limekuwa gumu sana that is why ndoa hazidumu on reality vijana wanaangalia vivutio vya anasa katika mapenzi mpaka kutafuta mke/mume i.e Vi-chicken,bro.mens which is wrong direction.Thanks kwa kutukumbusha
   
 10. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ntakushangaa sana kama utakuwa umenisahau Zion Daughter?
   
 11. m

  mgololafinyonge Member

  #11
  Sep 28, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umenena hili ni tatizo kwa vijana wengi wanaoa na kuolewa kwa mkumbo na hii inawafanya waoe na kuolewa na mtu yeyote atakae jitokeza the ndoa zinalaast for ayear tu
   
 12. j

  jembe afrika JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2014
  Joined: Jan 15, 2014
  Messages: 7,108
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  mmmmmh
   
 13. REALITY

  REALITY JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2014
  Joined: Jul 2, 2014
  Messages: 2,536
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  nawasalimu mimi mchungaji gwajima
   
Loading...