Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Siku hizi imekuwa fasheni kwa wanawake wa rika zote kubugia miudongo, zamani wanawake wenye mimba ndio walikuwa wakitafuna udongo huu lakini kadri siku zinavyosonga tunashuhudia hata mabinti...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Kuna hii dhana ambayo wanayo akina dada wengi hasa baada ya kuishi nae ktk muda mfupi pengine mwaka mmoja na nusu,mambo yakaja kuharibika kutokana na maswahiba mbalimbali ya kidunia basi wakati...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
The principle is simple: 18 years old - Mimi Mdogo. 20 years old - Nipo Chuo na busy, niache. 23 years old - you are not my type. 24 years old - Hawa wanaume wa hapa chuo wanahangaika tu na...
6 Reactions
82 Replies
6K Views
Nakumbuka kipindi nimegraduate nilienda kukaa kwa family friend mmoja hapa jijini baada ya kupata kazi kwenye kampuni moja ya wajerumani si nikaenda kupata keroro kufurahia. Ile kurudi home...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Baada ya kumalizia chuo, nilikuwa naishi na uncle wangu ambaye alikuwa amejenga maeneo ya kitunda. Enzi hizo nyumba zikiwa za kuhesabu. Baada ya hapo nikahamia kwenye kibanda changu maeneo ya huko...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Jamaa mmoja alikuwa kiwembe sana.Alikuwa akiaga nyumbani kwake kwamba anasafiri kumbe alikuwa akienda kujivinjari na kabinti mtaani kwake.Siku moja alimuaga mkewe kwamba anasafiri kidogo kwa ajili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
the way nakupenda wengine naona vikaragosi ,bby nikuambie kitu hawa wenzako siwataki humu,ni vishankupe ila wewe mmmmmh am dead all over mwah i love you tumboo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MAMBO MAKUU 4 UNAPOKUWA CHUMBANI NA MPENZI WAKO Mambo ya Chumbani hayoooo!! Fahamu mambo 4 muhimu unayopaswa kuyazingatia uwapo chumbani na mpenzi wako mnapotaka kufanya mapenzi 1. WEKEZA...
1 Reactions
46 Replies
29K Views
Wadada,wamama,mashangazi wa BEIJING niwaweke wazi kabisaaa kuwa kuna siku tutakubali mtupande vichwani na kuchukua haki yetu ya kuwa juu yenu(bila limbwata hamtuwezi mtaishia kuchezea vichapo)...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakuu mimi ndo jembe la afrika nipendae watoto weusi, jaman huku ni nouma tangu nimeingi border ya malaba mimi huyo jinja,nikapitia kireka,boyogerere,banda jamani nikafika stend nikashuka hapo...
0 Reactions
71 Replies
9K Views
Nampenda san mpenz wanguu ila sasa kuna ule msemo wa siku hizi wa kuwa chunguze mzigo ulipo kwanza kabla hujaingia ndani. Mimi nimechunguza, duuh! nilichokiona dusheleee lake nikadogo mno. Hivi...
4 Reactions
155 Replies
18K Views
Jambo wana MMU! Kuna jamaa yangu mmoja anayeishi Dar ambaye amemuoa binti wa ki-Tanga. Kumbe kabla ya kuolewa alikuwa na X wake kule Tanga na waliendelea kugegedana kwa siri hata baada ya...
2 Reactions
33 Replies
8K Views
Poleni na majukumu ya kila siku wana JF, ikiwa ni mara yangu ya kwanza kuweka post, nahitaji msaada sana kutoka kwenu wazoefu kwenye ndoa, wana dini kimaombi zaidi . Mimi ni mama wa watoto...
1 Reactions
101 Replies
13K Views
Naweza sema mimi ni mmoja kati ya wanaume wanao vutiwa na yale maumbile ya kike yaliyo umbika kwa mitindo tofauti kama mahips, makalio yaliyo jaa vya kutosha. Siko peke yangu, ni wanaume...
1 Reactions
66 Replies
25K Views
Natafuta rafiki wa kike. 1. Awe open minded 2. Mwenye hofu ya Mungu/ Mcha Mungu 3.Umri miaka 20 kuendelea 4. Awe anajiheshimu binafsi Kwa aliye tiyari tuwasiliane PM. Karibu sana,.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu wana MMU kuna hii tabia iliyozuka kwa kasi ya mabinti kupenda sana pesa kiasi kupoteza mapenzi ya dhati aisee! unakuta binti anampenzi wake anampenda kwelii lakini akitokea mwanaume...
1 Reactions
72 Replies
8K Views
Wasalam Wapendwa, Imepita Wiki Chache Tangu Nilipokosakosa Kuukwaa Ule Ugonjwa Usiotibika Yaani UKIMWI Na Kwa Kuokoa Mda Ilikua Hivi; Kuna Shosti Mmoja Mtaani Kwetu Ambae Ni Mzuri Na Ukimuona...
3 Reactions
66 Replies
16K Views
Yaaaap weekend ndio hii hali ya hewa mwanana kabsa kimvua kwa mbaaaaali..... Hebu tufunguke wanaume wenzangu ni mbinu gani unazotumia kumtoka demu wa vibomu baada ya kupiga hatua moja...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Unakutana na mdada cute,intellectual unaamua kuspend nae for sometimes as ur heart commands u. U take more than six months kumtongoza tu hadi mnaafikiana japo with millions of conditions kwamba...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Back
Top Bottom