jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
Wakuu kwema?
Jamani tumezoea kuona sherehe kubwa na zenye mbwembwe zikifanyika hasa za kuoana, lakin pindi wanapoachana inakua bifu ya kufa mtu hata inafikia hatua ya kutishiana amani hasa kwa walio na pesa zao.
Sasa kwanini watu hawa au kwanini tusibuni tutengeneze japo kakamati kadogo ifanyike sherehe ya kuachana watu tukala vyuku na vyoda na tukacheza na mziki ili hawa watu wakikutana njiani basi hata wasalimiane na pasiwepo na bifu?