Ndoa inapotumika kama atm machine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa inapotumika kama atm machine

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jun 3, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,151
  Likes Received: 5,578
  Trophy Points: 280
  Ndoa au Mahusiano Yoyote ya Kimapenzi
  ni mfano wa Bank Account tulizonazo.
  Unapopata mwenzi wako ni kama vile umefungua Bank Account na katika kuendelea na maisha au relationship kila siku unafanya transaction ambazo ni either Kuweka pesa (Deposits) au Kutoa pesa (Withdraw)

  Pia ni muhimu sana kujua hali ya Account yako bank ipoje; kwani unaweza kwenda kuchukua pesa ukakuta hakuna kitu, kumbe huko nyuma uli-overwithdraw zaidi kuliko ulivyotakiwa.
  Hakikisha kila Wakati Account Yako Ina Pesa ndipo uzichukue pesa zako.
  Love Bank Account ni muhimu sana katika maisha ya kila siku ya mahusiano na kama vile mti au mmea wowote unahitaji kutunzwa ili uweze kustawi na Love bank Account pia inahitaji kuwa na Pesa muda wote ili iweze kudumu.Unapomkubali mtu kuwa mwenzi wako (Soulmate) maana yake umefunguwa Love Bank Account kwake.

  Ni jukumu lako kuhakikisha kila siku Kuna Balance ya pesa za kutosha ili inapotokea unahitaji kufanya manunuzi yoyote basi kuna akiba ya kutosha.
  Unapompa feelings (hisia) nzuri za kukuhitaji wewe zaidi maana yake unafanya deposits, unaweka pesa za kutosha.
  Kuna mambo mengine katika mahusiano watu hudhani ni vitu vidogo sana lakini ni muhimu sana na vina maana kubwa,
  Unapo mwamini (trust),
  unapompa zawadi haijalisha ni nini na kiasi gani,
  unapompa muda, unapo mpa busu,
  unampa maneno ya sifa na kutia moyo,
  unampomsikiliza,
  na kumjali hapo
  unafanya Deposit na Account yako kwake inajaa.
  Lakini unapokuwa humjali, unampa maneno mazito na magumu yanayoumiza (criticism),
  Ignore, hutunzi ahadi zako wala kumlinda na kumpa kile anahitaji hapo una withdraw kwa kiasi kikubwa na inawezekana unafanya over withdraw ya hiyo Account na siku mambo yakiwa mambo kuna kuwa hakuna balance, na zogo linaanza.
  Please Hakikisha Love Bank Account ya Mkeo, Mumeo, Mchumba Wako, Mpenzi Wako Umeifanyia Deposits za Uhakika then Tutajua wewe Unajua Kupenda.
  Ubarikiwe na Bwana
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Jun 3, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Utashtakiwa kwa kuiba mawazo ya watu. Weka source kila unapocopy kazi ya mwenzako. Its good tho.
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280


  Umejuaje mkuu wangu.Tehe tehe. Masuala ya inputs and outputs!!!!!
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Seven Habits : Stephen Covey?
   
 5. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Japo mawazo ya watu lkn wengine tunapata kujua. Mr impossible we leta hizi habari hata kama una copy na paste.
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,151
  Likes Received: 5,578
  Trophy Points: 280
  Japo mawazo ya watu lkn wengine tunapata kujua. Mr impossible we leta hizi habari hata kama una copy na paste

  HAJUI MAANA YA JF HUYO.......
   
 7. j

  jembe afrika JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2014
  Joined: Jan 15, 2014
  Messages: 7,108
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  duuuuuuuuuuuuuuuuuuu
   
Loading...