Bibie (kioo cha jamii) aanika undani wa nyeti za x boyfriend | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bibie (kioo cha jamii) aanika undani wa nyeti za x boyfriend

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by lara 1, Sep 28, 2012.

 1. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Nawasalimu Wakuu wa Hili Jamvi!

  Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Nicheke Niongeze Maisha Mie!

  Kama kawaida kama dawa, sikuwa na mpango wa kuuleta huu Umbea uliothibitishwa humu ila nikaona itakuwa fundisho kwetu sote! Wambea wa mujini mtakuwa mshaipata hiii.

  Bwana Mujini hapa, siku za kati kuna Bidada wa mujini alijiopolea Kiserengeti Boy chake, kifootboller striker cha Msimbazi! Bwana weeee, magauni yote ya harusi mijini shurti aliyatia kikwapa, anaolewa, anaolewa, mie nikashukuru bora apungue atuachie nafasi sie masingle ili tujinafasi zaidi. Sasa bwana yule dogo kumbe si bwana ila mfano wa bwana (Viserengeti Boy hivi, kazi vinaweza ila ndo VITATUMALIZA NA PRESHA mbona!!!!!)

  Nasikia koz wote ni TOP in town waliamua wafanye siri, sirini atii. Wakajivinjari weeee kwa raha zao. Wale watia zengwe hawakukosekana kumuhusia bi dada mtoto wa mwenzio ni wako. Akangaka bibi yule, mtoto wangu nina kadi lake la Clinic? Nawaulizeni!!! vishanshuda vikatushuka shuuuuuuu!

  Kama ilivo ada ngoma ikivuma sanaaaa ujue ishafikia kupasuka, na debe tupu haliachi kutika. Sijui kilipita nini, au mazafanta gani alitia gundu, Kaka akatiririka FACEBOOK! Mi huyu binti simuelewi, anzushia! Sitoki nae wala sijawahi hata kufikiria. Blah! Blah! Blah! (You can imagine mtu keshakula URODA afu anakukana mara 3, jicho kavuu hana hata shipa la aibu)

  Bidada nae akapanic,(HAPA NDO MADA INAANZA) Dogo kamwaga ugali, yeye kaamua kuputa mboga! HAHAHAHHAAAAAA! U can never imagine!!!! Alitoa shutuma nyingi za kumchafua yule bwana, bwana gani anategemea miguu kupata riziki? Bwana mweusi tiii! nk nk ILA KALI KULIKO YOTE NI KUMSHUTUMU YULE BWANA MBELE YA UMA KUWA NI GOVINDA!!!!! HAAAAAAA! TOBA!!! CHINEKEEEEEE! Kinywa kikanibaki waziiiii almanusura nzi kuingia! Tena akaenda mbele kumtaka AKATOLEWE HILO GOVINDA! Hahahahaaaaaaaa!(Nyie watu wa bara hamruhusiwi kucheka ati, sie wa pwani hii khabari ya kuchekesha na kusikitisha) KAPOST HIVO HIVO KWA BLOG YAKE!!!!!

  Hahahaaaa! Simcheki yule bwana govinda, la hasha ila namcheka BIBIE! We mtu ulimuona GOVINDA, ukaka nae, UMESHIKA MIC weee, umeliwazwa na hilo GOVINDA weee, only you knows what you did with him! SASA HASIRA ZA NINI KUJULISHA UMA KUWA MWENZIO NDO HIVO TENA? I still dont get it! HIVI KWANINI KUACHANA INAKUWA KAMA ALSHABAB?

  Angaliozo
  Tafdhalini sana, msicomment jina la mtu. Tuongeleee hii khabari kama anonymous ndo wanahusika, na kujiburudisha au kujifunza jambo kwa hii experiance ya hawa VIOO VYA JAMII. NA NIKISUTWA NA MDUNDIKO MJE KUNITETEA!!!LOLEST!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Kwani kuwa na govi bado ni jambo la fedheha?
   
 3. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  La hashaaa kwa watu wa makabila huko! Ila ni private matter jamani! Utajisikiaje TZ yote wakujua wewe ndo hivo tena? Mapenzi ya siku hizi ya kichina, inabidi ukienda fargha udhaifu wako wauficha ficha, manake siku mkigombana ndo SILAHA YA MAANGAMIZI
   
 4. C

  Cognitivist JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 973
  Trophy Points: 180
  nimekukubali, we kweli mbea. Umewasilisha thread yako kiumbea umbea mara vishanshuda. Mmh mi sikuwezi.
   
 5. mak89

  mak89 JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 974
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 80
  Hv kumbe walikuwa wananiliu mi nilidhani ni utani wa st**e na d**a
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,219
  Trophy Points: 280
  lara 1 nawe, kumbe una fani ya umbea? Loh napita mie.....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mmmhh, ngoja nimwite snowhite anitafsirie, maana yeye na gfsonwin huwa wanajua kutoa maelezo kwa ufasaha.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa! Mi simoooo! Sasa kama hajananiliu GOVINDA KALIONAJE?????????? Ndo ujue keshaliwa atiiii!
   
 9. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Khaa jamani bado migovi ipo? Si DFP wana miradi kata mikono sweta? Wanaume ambao bado ndizi inamenywa ni aibu. Hospital zipo unafanyiwa fasta siku hizi na unapona haraka sana. Tafadhali ni aibu unavua boxer halafu tena jingizi hilooo. Astakafulah!!
   
 10. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaaa! Nitasutwa na MASHUJAAA BAND! Ila si mwenyewe kapublish kwa blog??? ameona PEOPLE HAVE THE RIGHT TO KNOW. Kama nawaona watu wanagoogle govinda ili wajue which blog!!!!
   
 11. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Wewe mwanamke lara 1 kweli unajua kujieleza na umbea kiukweli unao..
  Back to ze topiki nadhani anayejidhalilisha ni mtoto wa kike cuz kuwa na mkono wa sweta sio issue kubwa..
  Sasa kama siku zote ameukubali na hata salaam alikuwa anatuma leo hii anakuja vipi tena kurusha miguu??
  All in all mapenzi yakipeperuka tegemea chochote...ni kawaida sana ati!
   
 12. Brown ad

  Brown ad JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 347
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Hahaha haah! Kwa kweli hii ishu ni fedhea sijui kwa kwao kama hawatoagi anaweza asione tabu ila kwa hapa bongo duh!
  Kipindi cha nyuma kidogo nilianzisha mahusihano na jamaa mmoja ila kabla hatujafanya yale mambo zikazuka tetesi kuwa jamaa mkono wa sweta
  kama unavyosema mapungufu yanaweza kuwa silaha, siku tukazinguana si nikamwambia aende akafamyiwe tohara kwanza! Loh!! Nilikula mashuti ya hatari watu kuja kunisaidia yule bwana alitoa mashine ili adhihirishe yeye yuko poa loh! Sitoisahau ile siku kwa kweli!
   
 13. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Okwiiiiii! (mlio wa mshangao)
   
 14. mak89

  mak89 JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 974
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 80
  Sasa na langu sijui nitakuwa nalificha wapi
   
 15. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Makeke yote yale kwa pitch kumbe Mshikaji ana "Mkono wa sweta"? doh....kwanini basi alivyoenda ile nchi aliyoenda hivi juzi kufanya majaribio asifanye mpango wa kuurekebisha kama anaona visu vya East Africa namna gani vp,au ndo culture yao kule nchi jirani?
   
 16. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa! Jicho likakutoka kuona kitu live hana sweta! Bora ulijiwahi, wanaume wa siku hizi, mtu akijijua ndo hivo, mambo gizani, weye huna khabari, kwa kiherehere UNAWAHI KUSHIKA MIC ILI UACHIE JINGLES NA FREE STYLE, hamad ndo unagundua!!!! Mimi Day 1 Lazima iwe kwenye taa ya 100watts lolest
   
 17. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaa! Sio yeye bana! Mi thimooooooo! We unavomuona unadhani kweli? Au propaganda za watani wa jadi. Basi kuondo ubishi ATOE HADHARANI! LOL!
   
 18. Hoshea

  Hoshea JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 3,837
  Likes Received: 1,541
  Trophy Points: 280
  lara 1 bwana, nmekusoma thread zako dada mumbea ww, wanajamvi wacha mi nimwage mtama penye kuku, nendeni www.s*****.com
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  uzuri mbea huwa hatungi ila anafikisha ujumbe kwa wote, wanaotakiwa na wasiotakiwa.

   
 20. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa! Kijani na njano mmepata la kuongea! Hayo ni madongo tu ya X SUGAR MAMY, ukute uzushi mtupu, siku akitoa wote KIMYAAAAAAA! bora uwe huna upande kama mie.
   
Loading...