Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,969
Safari yangu kuelekea nchini rwanda imekuwa poa sana. Nimeenda salama na nimerudi salama kabisa.
Ila kule nilipoenda nimepewa masharti magumu kiasi fulani. Masharti hayo ni pamoja na mtoto wa kwanza tutakaezaa akifikisha miaka 5 lazima aende akakae na babu yake mpaka akifikisha miaka 15 ndio tukae nae
Dah nilitoa jasho kiasi chakujiona nipo kikaangoni. Nilikubali kwa shingo upande kwakuwa nilikuwa nchi ya kigeni.
Kusema kweli nataka nimpige chini mtoto wa kinyarwanda nitafute wa hapa hapa kwetu bongo au nitafute msukuma mwenzangu.
Sitaki tena jaribu mambo hayo nimekoma.