Mapenzi haya!

Mapenzi haya!

mgoli magombe

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
121
Reaction score
27
kweli woman is a pot full of poison, kuna bint wazaz wa mwanaume walimpenda na wakampa namba kijana wao wakaanza kuwasiliana, ndan ya miez 2 et akachukua hatua ya kuwapigia wazaz wke kuwa kapata mchumba na mwanaume alimwambia bint kuwa yy ni mwlm wa Alevel kumbe jamaa anasoma QT, mwanamke alidanganyika haraka coz wazaz wa kijana waliahid kuwapa kiwanja na kuwajengea nyumba, now bint hayupo tayar tena baada ya ukwel.
 
Madhara ya uongo kwa wanaume,hata biti alikurupuka.
 
hahahahahahahahaha. mungu wangu ! hivi huyu nae ni great thinker ?
 
huyo binti yeye ni level gan hadi amkatae wa qt? Btw ni vema ukawa muwazi kwa mwenza wako ili hata akikupenda afanye hivyo akijua we ni nani
 
Hahahah nimecheka sana.... Bila shaka binti nae mwenzangu na mimi tu maana angekuwa msomi angegundua hata kwenye maongezi ya kawaida tu. Hivi kwann umdanganye mtu ambae una uhusiano nae wa karibu
 
sijui ndo utu uzima unaninyemelea! yani sijaelew kitu kwenye huu uzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom