Watu tuliosoma kwa shida tena kwa mama zetu kuuza gongo ili tusome tukishapata kazi tunaishia kuwahonga wanawake na kuwasahau mamazetu.
Mpaka tukafika hapa tulipo mama kijijini analala kwenye nyumba za tembe na nyasi lakini kijana aliemsomesha kwa shida anaweka heshima kwa kuhonga ndo maana mnapata laana mnaishia kuugua magonjwa ya ajabu.