Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna jamaa tulialikwa naye kwa mfanyakazi mwenzetu baada ya shughuli za kiofisi... Kufika mlangoni tukakuta kuna utaratibu wa kuvua viatu.. Sasa tukavua wote pale ila jamaa akawa anajishauri...
1 Reactions
55 Replies
7K Views
Nilikuwa na mpenzi wangu kijijini tuliahidiana mengi sana likiwemo kuoana but nilipomaliza chuo na kwa bahati nzuri nikapangiwa kazi kijijin kwao niliyoyakuta sikuamini macho yangu. Kwanza wakati...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Habarini wapendwa. Jamani mwenzenu nimekosa jina lakuwaita hawa wanaume ambao wameamua kutumia Anus (Miku.du)yao kama sehemu ya starehe au wanatumia kama kiungo cha kujamiiana mbaya zaidi...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Nataka kujua hivi msichana huweza kupenda mtu zaidi ya aliyemtoa bikira? Huyu alifanya first time kwa less than 2 min kwa kulazimishwa kwa nguvu. Akafanikiwa kumshinda jamaa but alikwisha ingia...
0 Reactions
68 Replies
10K Views
Wadau MMU, Wengi wetu tunaangalia ubikira katika maumbile peke yake. Lakini kuna ubikira na ubikiri wa moyo ambayo ni wa muhimu na wenye nguvu zaidi katika uhusiano kuliko ubikira wa mwili...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
MTUNZI: JOSEPH SHALUWA KICHAA cha moyo kilimpanda ghafla Suma. Ni mara ya tatu sasa anamwita msichana huyo lakini haonyeshi dalili ya kumuitikia. Suma akazidi kuchanganyikiwa. Kwa nini...
2 Reactions
14 Replies
10K Views
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! Nimesoma mada ya mgiriki ambayo iko highly biased, insestive and discriminatory against our sisters at 30 and above and all the women race...
26 Reactions
602 Replies
41K Views
Ningependa kupata rafiki wa kike mwenye asili ya kiarabu umri asiwe amezidi miaka 21......anaweza akanifuata kwny PM kwa mawasiliano zaidi
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, nipo Dar, natafuta mwanamke mwenye umri wa miaka 27-37 mnene kiasi, mwenye kujishughulisha na anayeish i Dar. Hii ni kwa ajili ya kupeana raha, mwenye nia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeiona habari hii leo katika kituo kimoja cha televisheni. Ni kwamba mjane (yaani mwanamke aliyefiwa na mumewe) siju nne zilizopita, anafukuzwa ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi na mumewe. Ndugu...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Anyeonghaseyooooooooooooooooooooooooooooooooo! This is one of my most heartful and timeless piece of all times special for the ladies. Imeanzia kwa mchungaji kuniuliza una mchumba? Nikamjibu...
38 Reactions
224 Replies
19K Views
Simu yake ipo vibration muda wote. Hapokei simu mbele yako. Na akipokea, hasikiki vizuri pindi akiwa anaongea. Muda wote simu yake ipo empty kwenye folder za inbox, sent, outbox and even draft...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
  • Closed
Jamani nampenda yule mdada juliana. Ila naogopa uwenda ikawa wajanja wameniwai. Mara ya mwisho kumfatilia nilisikia bwana mdogo Nape anapiga mdogo mdogo,pia nikaja kusikia tena Mchemba Mwigulu nae...
1 Reactions
92 Replies
11K Views
Aaggrrhh...inaudhi sana wakuu nimepita hapa maeneo ya mwenge kuna vitu nimeona ikabidi nianze kujihoji maswali mwenyewe bila kupata majibu ila nikaona sio mbaya majibu ya vitu hivi tuyatafute...
7 Reactions
126 Replies
15K Views
Post hii ni kwa ajili ya wanaume tu. Wanawake hamkaribishwi. Wanaume tumekuwa tukifanya kosa la kuongea na mwanamke mmoja, au kutongoza demu mmoja kwa wakati mmoja. Wengi wetu huwa tunapendelea...
2 Reactions
45 Replies
15K Views
Kuna hii tabia msichana akipita mbele ya wavulana wanamtazama hadi apotee kwenye upeo wa macho yao. Leo nimeshuhudia dada mmoja akikosa confidence kidogo aanguke baada ya kupita kwenye kundi la...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
MCHUNGUZI HURU nawasilisha kwenu uchunguzi niliyoufanya kwa zaidi ya miezi sita. Unakuta mtoto mdogo sana lakini ashavalishwa zile kamba nyeusi mkononi. Wengi wanawavalisha hizo hirizi...
1 Reactions
12 Replies
45K Views
Habari wandugu ni matumaini mko poa kabisa, nina mpenzi wangu ambaye nimedumu nae kwa mwaka mmoja na miezi kadha, kama mjuavyo katika relationship kuna kutofautiana kikauli na mambo mengine. Sasa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wadau wa jukwaa hili! Ewe mdogo wangu na mkubwa wangu wa kike,t ambua kuwa kabla ya kuanza mahusianao na mwanaume, au mwanamke mpya ni lazima uwe unamjua vizuri kitabia,haiba na mienendo...
2 Reactions
48 Replies
8K Views
Most of the girls,ladies,woman are not really dealing with love true relationship but lovegumblers,aftermoney and business aids inshort wengi humu ni wako kwa ajili ya biashara na kutafuta wapi...
0 Reactions
105 Replies
9K Views
Back
Top Bottom