Mambo wadau, kichwa cha habari chajieleza lakini si vibaya kujikumbusha historia. Siku za nyuma, naogopa kusema zamani manake watakuja wanaotaka source na picha hapa wakati mi sina ilikua hivi.
Mke akipigwa na mumewe au hawara breki ya kwanza ilikua kukimbilia kwa mjumbe wa nyumba kumi au mzee yeyote mwenye busara hapo mtaani.
Siku hizi hawa watu hawana nguvu tena na wengi wanaishi mtaani hata hawamjui mjumbe wala balozi na hii ni kutokana na hali halisi ya maisha ya utafutaji.
Hebu nambieni ipi ni sehem sahihi kukimbilia.