Jamani hii kali,kunajamaa kashitakiwa kwawazee na mkewe kisa kazidisha kupiga puchu.Imefikia mahali mume anaweza kuahirisha gemu usiku mkali aingie bafuni afanye yake!Je huu ni ugonjwa ama nikawaida?
apart from kabila,sura,uzuri yapo mambo ya msingi kabisa ambayo mwanaume unapaswa kuyazingatia kabla hujaamua kupropose.
ifahamike kwamba mwanaume unapaswa kuitumia vema nafasi iyo maana ni haki...
leo ndio leo.
ni ndoa na ndoano zake tu......ukiipenda utaichukua!!
1.Lazima UNIZALIE MTOTO.PERIOD
2.Lazima niishi na wewe mwanamke japo mwaka mmoja nikujue vitu fulani fulani.
3.sasa baada ya...
Hivi hii serikali katika vitu vya kushadadia wameona hii ya kutowahudimia wake zetu hadi tufuatane nao clinic ndo kitu cha maana sana??Hivi kuna umuhimu gani tuongozane nao? hivi hii itapunguza...
Sielewi nini kinaendea.nimekua naye kutwa nzima jana na leo nimedamka kwenda kumuaga ubungo.hategemei rudi karibuni.anaishi mbeya.hatukupasha kiporo lakini cjui nini anawaza nami cjui nini...
Naitwa Mwl Kimaro nafundisha Sec moja ipo Moshi vijijjini nimekua nikipata tabu kweli kwenye suala la kuchagua mke kama mnavyojua fani yetu hii bila mke hawa watoto watatufunga.
Natamani kuoa...
Habari za wakati huu wana MMU.Leo nimeamua kuwashirikisha kisa kilichomtokea rafki yangu wik end iliyopita.
Ni hivi,jamaa kuna demu alikuwa anamfukuzia kwa takriban nusu mwaka sasa lakini demu...
Wanafalsafa wanasema kuwa: You can give without loving, but you can not love without giving!
Jamani ukweli wa usemi huo ni upi. Vijana mnasemaje, labda na wazee!
Habarin wandugu,
Nina mpenzi wangu ambaye tulianza uhusiano tangu mwaka 2006 yeye akiwa form 2 wakati huo mm nilikuwa form 3.
Tumekuwa katika uhusiano katika kipindi chote hicho tukiwa serious...
Huyu jamaa kazaa watoto wawili wa kike na mwanamke wa kwanza, akamwacha na kutafuta mwingine, nae kazaa naye wa kike wa3, kamwacha kaenda kwa mwingine wa tatu huyo, sasa ana watoto nae wawili wa...
Kila mahali sasa kila mtu anazungumzia mapenzi......wakati enzi zile (ambazo kila mtu anaziita enzi zetu) mapenzi yalikuwa siri ya wawili tuuu.....jmn tupunguze au tubadilishe style!!!
Wakuu salaam,kuna jambo linanitatiza nimeona niliweke hadharani ili mnishauri kijana wenu. Mimi ni mwanaume wa miaka 29 niliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja ambaye alinisaliti na...
Hope mko salama wakuu...
Mi nina mpenzi wangu tulikuwa tunapendana sana but kwa sasa nahisi hanifai na hii yote ni kutokana hiki.
Nilipanga chumba somewhere, but kabla sijamaliza mwezi...
Mama mmoja alikuwa ameolewa na mwanamume wa Mwanza lakini wakawa wanaishi Dar alikokuwa anafanya kazi mume.
Mwaka 1992 wakakorofishana na mwanamke akaondoka kwa mumewe na watoto wadogo wawili...
Hawa nao ni Adamu na EvaNDOA, TALAKA NA KUOLEWA TENA
UTANGULIZI
Ndoa ilianzishwa (instituted) na Mungu. Mungu aliumba mke kwa ajili ya Adamu kwa kuwa Mungu aliona "Haikuwa vema" kwa Adamu kuwa...
Kwa fitina na taarifa potofu anazotoa juu yangu, nami ni rafiki yake muda mrefu na tuko wote kampuni moja,kila nikimtaka tukae tujadili kuhusu mambo anayonizushia huku...
Hakuna kitu kinachoumiza katka maisha kama usaliti katika mapenzi.ndio usimwamini anaesema anakupenda na ukamkabidhi moyo wako wote unaweza ukanywa sumu.siamini kama rafiki yangu anakosa raha...
Naombeni ushauri marafiki zangu ndani ya JF,
Nina mpenzi wangu ambaye mwanzoni tulipendana sana, nilikuwa namtoa na kumpa kile akipendacho. Nipo nae kwa mda wa mwaka na nusu sasa hakika nampenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.