Natafuta rafiki

Natafuta rafiki

Prezda

Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
61
Reaction score
9
Hamjambo wakuu?... Naitwa Baraka Juma umri wangu miaka 28 Single boy natafuta rafiki Contact 0785746105
 
rafiki wa kike, kiume, au jinsia zote? Hata kujieleza taabu jaman. Jinsia ni suala la muhimu kubainisha unapotafta ra(ma)rafiki
 
Hahaha. Haya sie wote marafiki zako. Mie sina simu, napatikana kwenye posts.
 
khaaa wewe mvulana or
i hate this 28 yrs hujui kujieleza unatafuta rafiki hta men wenzio wakufumue marinda hicho kigezo cha kuwa sigle na husemi unataka me/ke una lako wewe,....

hahahaaa, ba we umezidi bana, haka ni kama kadogo chako kaelekeze vizuri siyo kukatishia kufumuliwa marinda!lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom