For serious girl only

For serious girl only

ERIK

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
623
Reaction score
315
Habari!!kama wewe ni mdada uliye single na upo huru naomba ni PM tufahamiane tuwe friends na kuelekea kuwa wapenzi kama tutaendana na kukubaliana!! asante kwa uelewa karibu!!
 
habari!!kama wewe ni mdada uliye single na upo huru naomba ni pm tufahamiane tuwe friends na kuelekea kuwa wapenzi kama tutaendana na kukubaliana!! Asante kwa uelewa karibu!!

mbona kupm ndo kikwazo.
 
Weka cv yako hapa tuchangamkie fursa...me ni mdada miaka40+ nafit?
 
Ahahahahaa...!! Uuwwiii...!! Nieimiss sana jf! Dah!
 
una miaka mingapi.. ni vizuri ungeweka na qualities unazotaka ili tujichuje babangu fanya ivo
 
una miaka mingapi.. ni vizuri ungeweka na qualities unazotaka ili tujichuje babangu fanya ivo kama hutojali
 
Back
Top Bottom