Je kuringa kwa wanawake inasaidia kupata wanaume wa maana?

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
503
Points
225

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
503 225
Mimi nawashangaa sana wakina dada washindwa kutumia akili zao kumsoma mwanaume kama ni muongo,tabeli au muhuni mpaka kwanza waanze kuringa? hivi watakua wamejirahisisha ikiwa watakubali mara moja wakitongozwa? au wanampandisha dau mwananume? yawezekana mwanamke ukakosa bahati kutokana na kuringa sana mwanamke anatakiwa aringe ila kwa kiasi chake basi hata ukiitwa? ingawa kuna tabia mbaya ya wanawake kuitwa bila ustaarabu ila jaribu kuangalia kama huyu anaenita anashida gani! ?
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
169,605
Points
2,000

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
169,605 2,000

hivi kweli kuna uhusiano wa kuringa na kumsoma mwanaumme kweli? Sioni uhusiano hapo............................ataringa kwa sababu zake...................na mwache aringe maana yatakayomkuta yeye mbeleni yatamfaya ajute kwa nini hakuringa na kusumbuasumbua kidogo..................lakini kumsoma mwanaumme hicho ni kipaji cha kuzaliwa aidha anacho au hana..............no correlation between the two at all........
 
Suki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Messages
373
Points
195

Suki

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2007
373 195
I second part of Ruta's argument, hakuna uhusiano kati ya kuringa na ability to analyze one's personality au validity of one's intentions.
Hata hivyo kuna kitu kinanishangazaga sana na nitaomba kueleweshwa. Kwa wabongo walio wengi, katika mahusiano wanachukulia as a given that the man is always in it for the fun and the woman, desperately trying to make a gent out of a crook. Imekaaje hii?
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
169,605
Points
2,000

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
169,605 2,000
I second part of Ruta's argument, hakuna uhusiano kati ya kuringa na ability to analyze one's personality au validity of one's intentions.
Hata hivyo kuna kitu kinanishangazaga sana na nitaomba kueleweshwa. Kwa wabongo walio wengi, katika mahusiano wanachukulia as a given that the man is always in it for the fun and the woman, desperately trying to make a gent out of a crook. Imekaaje hii?
women were born to serve us.......................it is written her lust will be in her man and him will lord over her.....Genesis 3:16............sasa maendeleo feki haya tuliyonayo ndiyo yamewapa kiburi kudhani ya kuwa tuko sawa.................na wanapambana na mfumo dume wakati ni mapenzi ya Muumba tuwatawale......ingawaje kuwatawala haimanishi kuwatapeli................au kuwaonea ila kuwatawala kwa haki kama Muumba alivyo mtenda haki............................wao wanatuona ni malaika na hivyo lazima watuamini chochote tuwaambiacho....................................................mtihani ni kwetu kuwatendea ubinadamu
 
Suki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Messages
373
Points
195

Suki

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2007
373 195
women were born to serve us.......................it is written her lust will be in her man and him will lord over her.....Genesis 3:16............sasa maendeleo feki haya tuliyonayo ndiyo yamewapa kiburi kudhani ya kuwa tuko sawa.................na wanapambana na mfumo dume wakati ni mapenzi ya Muumba tuwatawale......ingawaje kuwatawala haimanishi kuwatapeli................au kuwaonea ila kuwatawala kwa haki kama Muumba alivyo mtenda haki............................wao wanatuona ni malaika na hivyo lazima watuamini chochote tuwaambiacho....................................................mtihani ni kwetu kuwatendea ubinadamu
Aaaah, nadhani I was misunderstood. Not exactly what I was getting at na kwa hili sikubaliana na wewe hata kidogo.
We all serve one another in one way or another. Waulize wanaume wenzako what happens when they fail to serve their mamsaps.
 
HekimaMoyoni

Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
55
Points
0

HekimaMoyoni

Member
Joined Dec 9, 2010
55 0
Mimi nawashangaa sana wakina dada washindwa kutumia akili zao kumsoma mwanaume kama ni muongo,tabeli au muhuni mpaka kwanza waanze kuringa? hivi watakua wamejirahisisha ikiwa watakubali mara moja wakitongozwa? au wanampandisha dau mwananume? yawezekana mwanamke ukakosa bahati kutokana na kuringa sana mwanamke anatakiwa aringe ila kwa kiasi chake basi hata ukiitwa? ingawa kuna tabia mbaya ya wanawake kuitwa bila ustaarabu ila jaribu kuangalia kama huyu anaenita anashida gani! ?
Inaelekea unapenda vitu rahisi rahisi sana....
 
HekimaMoyoni

Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
55
Points
0

HekimaMoyoni

Member
Joined Dec 9, 2010
55 0
women were born to serve us.......................it is written her lust will be in her man and him will lord over her.....Genesis 3:16............sasa maendeleo feki haya tuliyonayo ndiyo yamewapa kiburi kudhani ya kuwa tuko sawa.................na wanapambana na mfumo dume wakati ni mapenzi ya Muumba tuwatawale......ingawaje kuwatawala haimanishi kuwatapeli................au kuwaonea ila kuwatawala kwa haki kama Muumba alivyo mtenda haki............................wao wanatuona ni malaika na hivyo lazima watuamini chochote tuwaambiacho....................................................mtihani ni kwetu kuwatendea ubinadamu
green:Kasome uelewe vizuri, Mwanamke sio kijakazi kwako. Mungu alimuumba mwanamke toka Ubavuni kwako ili umpende na kumlinda, sio miguuni ili umkanyage.
 
Muuza Sura

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Messages
1,989
Points
1,250

Muuza Sura

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2011
1,989 1,250
ukijua thamani yako maringo muhimu....haya mambo yanaenda kwa level ukiona demu anakuletea maringo jua si level moja tafuta wa kiwango chako
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
169,605
Points
2,000

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
169,605 2,000
Aaaah, nadhani I was misunderstood. Not exactly what I was getting at na kwa hili sikubaliana na wewe hata kidogo.
We all serve one another in one way or another. Waulize wanaume wenzako what happens when they fail to serve their mamsaps.
ni laana Muumba aliyomtupia mwanamke kwa kumsikiliza nyoka aliyemdanganya ya kuwa akilila lile tunda la mti katikati atafanana na Mungu ...........Kwa hiyo tamaa ya kufanana na Muumba; Mwenyezi Mungu aliihamishia kwa mumewe na kutokana na hiyo tamaa mumewe atamtawala.............huhitaji kukubaliana na mimi ambaye ni kiumbe tu kisicho na lolote lakini kauli ya Mwenyezi Mungu ni timilifu.................ukweli unabakia palepale ya kuwa wale wote wanaopingana na mfumo dume ni maadui wa Mungu....soma Bbilia Takatifu kitabu cha Mwanzo sura ya 3:16 ijumlishe na kitabu cha Isaya sura ya 55:8-9 na 11.............................ubarikiwe sana...............

labda niinakili Biblia Takatifu kitabu cha Mwanzo 3:16: " To the woman He said: " I will greatly multiply your sorrow and your conception; in pain you shall bring forth your children; your desire shall be for your husband, and shall rule over you."

sex utampa tu kwa sababu huna mwingine wa kumpa................................ukitembea nje kama kumkomoa unajikomoa mwenyewe...............kwa sababu baada ya kujamiana naye mmekuwa mwili mmoja...........soma 1 Corithians 6:16................unapotaka kumtawala mumewe atakuonyesha kwa kukunyima penzi nawe amani ya Mwenyezi Mungu utaikosa...............................na hata uasherati hautakuwa dawa hapo....................trust me on this one I have seen it all.............
 
Forum statistics

Threads 1,357,814
Members 519,096
Posts 33,153,707
Top