Je wanawake wakimya na wapole hawana mambo mengi?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,720
Reaction score
62,856
Habari za hapa wakuu.

Nimekaa nikatafakari sana bila majibu, Kuna wanawake unakutana nao unawasalimia hawajibu hata unapomtongoza hasomeki kabisa yaani ana majibu ya utata. Ukimsemesha anakuwa mkali kweli kweli. Hata namba ya simu hatoi akitoa kwa masharti hata ukipata namba yake ukipiga hapokei akipokea anaonge kwa mkato na nyodo. Watu wanasema kuwa wanawake wa hivi ni watulivu sana na wakiolewa wanatulia ndani ya ndoa na hawagawi hovyo hovyo hivyo wanafaa kuolewa. Je haya maneno yana ukweli wowote?.

Mwingine unakuta mtu wa watu kila anapopita anatoa tano, unakuta mtu wa kusikiliza kwa makini na muelewa. Mara nyingi utakuta marafiki zake ni wanaume. Hata mnapopadilishana namba za sibu hasubiri upige bali yeye mwenyewe atakupigia muda wowote ule. Huyu naye unakuta wanamuita kicheche yaani hajatulia kwamba anagawa sana Mapenzi eti hata kwenye ndoa hawatulii.. Je hii inaukweli wowote?

Kuna wimbo wa mwanaFA aliimba kwamba 'demu unajifanya mgumu, ukimpata unajiona umepata kumbe ndo umejihukumu' Nikifikiria hapo ndo nashindwa kuelewa kabisa.

Naomba Mawazo wako. Je hiki kinaweza kuwa kigezo cha kupenda? Wewe unamaoni gani? mia
 
mapepe ndo anafaa mkimya muogope kama ukimwi
 
Baadhi ni wakimya ili wawe na wapenzi wengi kwa siri.
Just buy time,, to be sure
 
Mapepe ndio mpango mzima... make anakuwa mapepe mdomoni lakini humvui ng'o!

Kuna mkaka flan best yangu sana, sasa akakutana na mdada mapepe balaa nusura ya mkosi.

Jamaa akaona kapata mlupo, si akaanza kurusha mistari. Mdada akamwambia wala huna haja ya kuzunguka we sema lini tukabanjuane.
Weee mkaka hakujaribu tena ikabaki mdada ndio anamuuliza lini bana! Kumbe mdada hakuwa hata na wazo la kutoka na yule kaka.... Mwisho wa siku wakabaki mabest tu

Be careful, wale wakimya na wapole ni hatari make wanavulia kama samaki!
 
Mwingine unakuta mtu wa watu kila anapopita anatoa tano, unakuta mtu wa kusikiliza kwa makini na muelewa. Mara nyingi utakuta marafiki zake ni wanaume. Hata mnapopadilishana namba za sibu hasubiri upige bali yeye mwenyewe atakupigia muda wowote ule. Huyu naye unakuta wanamuita kicheche yaani hajatulia kwamba anagawa sana Mapenzi eti hata kwenye ndoa hawatulii.. Je hii inaukweli wowote?
Kwenye red niko hapo na hakuna ukweli wowote,tena demu ambaye marafiki wake wengi ni wanaume huwa hana mambo yakihuni na ametulia, mimi huwa marafi wangu wengi ni wanaume na sina mambo ya ajabu.HAKUNA UKWELI!!

Hahahahahahahah

Back
Top Bottom