Bibi harusi moto

Bibi harusi moto

Interesting...!

Bora amekuwa mkweli kwa kuonesha live kuliko wale wanaoficha ficha halafu wanakuja kuruka ukuta baada ya kuolewa..

Ndoa na iheshimiwe na kila mtu!
 
Nahisi alikuwa anataman kuvua nguo.. Maana mzuka wa hatari
 
Interesting...!

Bora amekuwa mkweli kwa kuonesha live kuliko wale wanaoficha ficha halafu wanakuja kuruka ukuta baada ya kuolewa..

Ndoa na iheshimiwe na kila mtu!

unaweza kukuta labda alitupia na cha Arusha juu kabla ya kuingia ukumbini.......
 
kijiji kizima kilishamwambia haolewi, wenzie wote wapo kwenye ndoa mwaka wa kumi sasa
 
ha ha ha ha!!!!!!!

akikusikia lara 1 , mimi simo.
Hihiiiii! WANAUME BWANAA HUSUSANI KINA AVERAGE JOE KWA KUSAFIRIA NYOTA YA KINA RICH LENISTER HAMJAMBOOOO.!!

Kweli kuna wanaume wanapiganiwa ILA SI WOTE JAMNIII 1 IN 10, WENGINE MNAHANGAIKA KUOMBA CHIU MASAA 24 MPAKA HELA MNATOA AU SIZITAKI MBICHI HIZI MNAKILA CHIU CHINA YA VIWANGO VYA FIFA HAHAHAAAAAAA! ILA HUMU MMU KILA MWANAUME RICH LENISTER ANAPIGANIWA! Mmmmmmh! HAHAHAAAAAA,

UMENIIITA MWENYEWE! Basi ngoja niishie hapo kwa leo! WE UNARUM 1, CHOO UNASHEA AKUGOMBEE NANI? Azimiw nani? Ukimwambia mtu twende kwenu nikatoe posa! WAMESAFIRI UKOO MZIMA! Hihihiiiii

IM OUT OF HERE!!!
 
Ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!!!!

angalia bana usije ukawa unawaumiza watu humu..........

wewe hujaona Muheshimiwa alikuwa anapigania kuolewa na average JOE.........

usifanye mchezo na mwanamke anayeihitaji NDOA , anakwenda extra miles.
 
EID mubarrak......
asakuta same hebu acha ligi leo sikukuu bana .
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!!!!

angalia bana usije ukawa unawaumiza watu humu..........

wewe hujaona Muheshimiwa alikuwa anapigania kuolewa na average JOE.........

usifanye mchezo na mwanamke anayeihitaji NDOA , anakwenda extra miles.
Wewe yule SI AVERAGE JOE, PAYROLL YAKE YA TIGO ILIKIWA IKO VIZURI!

Ingekuwa wanawake wanahitaji ndoa kiukweli BIASHARA YA PAPUCHI ISINGEKIWEPO NA HIGHEST BIDDER WASINGWKUWEPO NA WANANDOA WASINGECHEPUKAAAA!

Hii inadhibitisha BINADAMU HATOISHI KWA MKATE TUUUUU! Hahahaaaaaa!

Ndo maana unaweza. KUOA NA HIGHEST BIDDER WAKAJA KUKUCHAPIA HUMO HUMO NDANI! Heshima pesa Ndoa karatasi la kuweka kabatink! NO OFFENSE INTENDED!

Ila ndoa za kina RICH LENISTER KWELI ZINA SOKO, AND ARE TO DIE FOR, ILA KINA FREE P HAHAHAAAAA ZINA WATU WAKE!
 
EID mubarrak......
asakuta same hebu acha ligi leo sikukuu bana .

ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!!

Huyu binti kuna vitu vya ukweli huwa anaandikaga humu , japo staili yake ya ubishani ndiyo inakuwaga utata utata.........

ila anaweka ushindani mzuri.

umeshaiangalia ile movie THINK LIKE A MAN....... mule ni full kuviziana.
 
Wewe yule SI AVERAGE JOE, PAYROLL YAKE YA TIGO ILIKIWA IKO VIZURI!

Ingekuwa wanawake wanahitaji ndoa kiukweli BIASHARA YA PAPUCHI ISINGEKIWEPO NA HIGHEST BIDDER WASINGWKUWEPO NA WANANDOA WASINGECHEPUKAAAA!

Hii inadhibitisha BINADAMU HATOISHI KWA MKATE TUUUUU! Hahahaaaaaa!

Ndo maana unaweza. KUOA NA HIGHEST BIDDER WAKAJA KUKUCHAPIA HUMO HUMO NDANI! Heshima pesa Ndoa karatasi la kuweka kabatink! NO OFFENSE INTENDED!

Ila ndoa za kina RICH LENISTER KWELI ZINA SOKO, AND ARE TO DIE FOR, ILA KINA FREE P HAHAHAAAAA ZINA WATU WAKE!

Kwa kuangalia payroll tu mbona wote tutabakia kuwa AVERAGE JOE tu...(unless kama una maana nyingine ya AVERAGE JOE).......

kuhusu kuchapiwa hiyo ni very relative act , hata free P wanawachapa sana hao wake wa ma Highest bidder.( halafu after all hiyo ni zaidi ya hela)...
 
Back
Top Bottom