Hivi wanandoa ni nini hasa mnachofaidi huko?

Hivi wanandoa ni nini hasa mnachofaidi huko?

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
6,707
Reaction score
3,359
Kulala pamoja?
Kufuliwa nguo na viatu?
Kupigiwa pasi?
Kuogeshwa?
Kuitwa mme/mke wangu?
Kulea watoto pamoja?
Or what?

Naomba mnijibu coz mimi kama mimi sijaona sababu mzuri ya kuoa and may be im wrong!

Na miongoni mwa sababu zinazonitia hofu ni kwamba ndoa ni last stage of love! Kwa lugha nyengine ndoa ni kaburi la mapenzi! Ktk ndoa hakuna mapenzi bali ni uvumilivu na mazoea tu!
 
wanakuzidi kuongeza stress za kuchapiwa... yani bora uchapiwe demu kuriko mke kabisa tena umemleta ndani kwa tarumbeta
 
Ndoa tamu dogo ni zaidi ya hayo uliyoandika hapo
Jaribu kuingia utajionea mwenyewe

Wanachokifaidi ni siri ya wanandoa nawe ukiingia kwenye ndoa utajua.....

Raha ya ngoma ingia ucheze wasemavyo wahenga

Time yako ikifika utaelewa

Aya majibu yanafanana yote!
Na kama mtihani wangu mngejibu hivyo ningewapiga marongi nyote na mngefagia uwanja!

Jamani kuna lisiloelezeka kweli? Au ndio nawakumbusha machungu muyapatayo huko? Teh teh teh!
 
wanakuzidi kuongeza stress za kuchapiwa... yani bora uchapiwe demu kuriko mke kabisa tena umemleta ndani kwa tarumbeta

Hahahahahahahaaaaa! Ilo nalo neno!
Sijajua wanafaidi nini huko wallah! Huku kuna mashee wanaowa wanne anakaa wee anamuacha mmoja then anaoa mwengine, hivyo hivyo tu! Hawa ndio wananiacha hoi zaidi!
 
Ni kama adhabu ya kaburi aijuaye ni marehemu, kamwe hutaijua mpaka ufe. Huwezi kujua mpaka uoe. Na ndio maana huwezi kujua kwa nini huyu kamuoa/kaolewa na yule, kwa nini hawa wameachana, n.k
 
Ni kama adhabu ya kaburi aijuaye ni marehemu, kamwe hutaijua mpaka ufe. Huwezi kujua mpaka ule. Na ndio maana huwezi kujua kwa nini huyu kamuoa/kaolewa na yule, kwa nini hawa wameachana, n.k

Hapana!
Adhabu ya kaburi na ndoa hata havihusiani! Mtu aliekufa haiwezekani kuulizwa and/or kurudi na kuishi tena! Wakati wanandoa wanaweza kuulizwa na pia wanaweza kuachana wakawa mabachela!

Swali liko pale pale!
Ivi mnatunyima nini huko ndoani (ambacho sisi hatupati?)
 
Ingia dogo uone utam ulioandikwa mpaka kwe bible acha kusikiliza yakijiweni.
 
Kulala pamoja?
Kufuliwa nguo na viatu?
Kupigiwa pasi?
Kuogeshwa?
Kuitwa mme/mke wangu?
Kulea watoto pamoja?
Or what?

Naomba mnijibu coz mimi kama mimi sijaona sababu mzuri ya kuoa and may be im wrong!

Na miongoni mwa sababu zinazonitia hofu ni kwamba ndoa ni last stage of love! Kwa lugha nyengine ndoa ni kaburi la mapenzi! Ktk ndoa hakuna mapenzi bali ni uvumilivu na mazoea tu!

wazazi wako wasingekuwa kwenye ndoa leo usingekuwa na jeuri ya kukaa kwenye keyboard na kuandika unayoandika hapa.ukitaka kujua ndoa ni nini basi ichukulie kama taasisi zilivyo nyingine na siyo ndoa kama tukio.
 
Back
Top Bottom