MhayawaTanzania
Member
- Jul 28, 2014
- 70
- 10
Natafuta rafiki wa kike sister duu mwenye elimu, japo awe ameatend course yoyote, awe na account ya bank, anayejua lugha ya kiswahili na kiingereza,awe tayari kupima afya, awe mweupe lkn cyo kwa mkorogo au maji ya kunde! awe miss independent hilo ndo kubwa zaidi!!! atakayekuwa interested ANIPM!! Ahsante kwa kunielewa.