Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,832
Inavunja moyo sana, ''Binadam Kaumbiwa Mateso'' lakini anastahili kupozwa. Mwenzio anajitutumua, kidogo alichopata kushea nawe. Ni kidogo lakini hata shukrani hakuna?
Wanibipu baada ya masaa 9 (Hapo Vocha Nishakutumia) nakukumbusha tena kama imekufikia!
Eti, unashtuka sasa na kunishukuru. Bora ningemfadhiri hata ndugu yangu.
Wanibipu baada ya masaa 9 (Hapo Vocha Nishakutumia) nakukumbusha tena kama imekufikia!
Eti, unashtuka sasa na kunishukuru. Bora ningemfadhiri hata ndugu yangu.