Unakuta unamtu unampenda na kujitahidi kufanya kila anachotaka ili ajisikie vzr lkn yeye hana muda na wewe ukimwambia hiki sikipendi ufanye hakusikilizi ndio kwanza anaendelea na mambo yake Muda...
Imebainika kwamba wanawake wanaojiremba sana usoni kwa rangi za midomo zenye kuonekana sana, na vipodozi vingine vikiwemo vile vya kope za macho, huwatisha wanaume badala ya kuwafurahisha au...
Baada ya kuvumilia na kua na subira, natangaza rasmi kutafuta msichana atakae kua ubavu wangu wa maisha.
Sifa
Dini: mkristo
Umri: miaka 20-28
Tabia: upendo & mvumilivu
Umbo: la wastani...
Kama tujuavyo, wasichana wa sasa kuwa na 3 sum boyfriend kwa ngono kwa muda tofauti au mafiga matatu na pengine zaidi ni kitu cha kawaida. Na pengine kati ya hao wote anaolewa na yule ambaye...
Kijana asiye na kazi aitwaye Nolesy aliamua kumwoa rafiki yake wa muda mrefu aliyekuwa akifanya kazi katika benki moja mashuhuri.Nolesy alijitosa katika ndoa licha ya hofu na ushauri mwingi...
Habari zenu wana jamvi.
Kuna mwanamke tuliwahi kuwa wapenzi miaka 8 iliyopita, tulipendana sana kipindi hicho ila alikuja kuolewa na mwanamme mwingine ambae alikua anamtaka tangu tukiwa wote na...
Wandugu wazimaa?
Nina jambo lanitatiza.
Tumesoma wote kidato cha kwanza na cha pili. Alikuwa akinipenda lakini hakuweza kuniambia nilikuwa nikiambiwa na rafiki zake.
Nilihama ile shule kwahiyo...
Wakuu kusema ukweli nimeshakata tamaa kwa matukio matakatifu yaliyonikuta .....mapenzi haya haya yamenifanya naweweseka ...
Msichana wa kwanza nilimpenda mimi ila yeye hakuwa katika mood yakuwa...
Ni tukio lililowahi kunitokea mimi binafsi, kuna siku nilitokea Igunga kumsalimia bibi, nikapanda mabasi ya Mohamed trans toka Bukoba, nilipofika kama Dodoma ilishakuwa usiku wa giza.
Toka...
habarin wadau!
kuna ndoa ina ugomvi hapa mtaani kwetu kila ikitokea mwanamke na mwanaume wamegombana mwanamke anamwambia mwanaume "ndo maana una lea mtoto wa mwanaume mwenzio" hawa wanandoa wana...
Si Utundu Na Ujanja Wa Mwanaume tu Unaomwezesha Mwanamke Kupata Utamu Wa Kufika Kileleni (Mshindo, Orgasm, Coming) Bali Mwanamke Pia Anahusika. Kufika Kileleni Ni Nini?
Ni Kiwango Cha Juu Kabisa...
Jamaa zangu wengi sana wanapata taabu sana kwa sababu ya simu. Kidude hiki ambacho kinatakiwa kitupunguzie shida katika maisha chenyewe ndio kimekuwa shida kubwa. Mtu unakuwa huna raha kabisa...
Ni ukweli kwamba kuna mkengeuko mwingi unaohusiana natendo la ndoa ambapo watu hupata ridhiko kwa njia ambazo zinashangaza.
Watu hawakwa bahati mbaya, hawako tayari kukiri udhaifu wao huo hata...
Nimegundua ya kwamba wanawake wengi walio achika katika ndoa zao wana ushuhuda wa uwongo kwa wanawake wasio olewa.
Utamkuta mdada mzima amezalishwa halafu ameachwa kwa makosa yake anawaambia...
Wakati fulani katika umri wa ujana wa kati, pale nilipokuwa sijaoa mara zote nikisikia Baba kagombana na mama hisia zangu siku zote zilinituma nimwone Baba ni mkorofi, yeye ndio chanzo. Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.