Ametembea naa wanawake watatu akitafuta mtoto wa kiume

Ametembea naa wanawake watatu akitafuta mtoto wa kiume

BatteryLow

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
446
Reaction score
149
Huyu jamaa kazaa watoto wawili wa kike na mwanamke wa kwanza, akamwacha na kutafuta mwingine, nae kazaa naye wa kike wa3, kamwacha kaenda kwa mwingine wa tatu huyo, sasa ana watoto nae wawili wa kike bado.

Kuhangaika kote huko ni kwamba anatafuta mtoto wa kiume.
Hivi bila kuwa na mtoto wa kiume hairidhishi eeh?
 
mnhhhh hii ingepelekwa JF DOCTOR. wataalamu wamsaidie
 
Hayo bana ni mapenzi ya Mungu, mana kuna watu hutumia mpaka madawa na ushauri wa madaktari ili waweze kupata watoto wawatakao wao lakini inAshindikana!!

Kuacha wanawake huo ni umalaya wake, angetulia na mmoja wakajaribu njia za kitaalam!! Ye anadhani kuna wanawake wametegeshewa watoto wa kiume matumboni mwao nini?
 
Huyu jamaa kazaa watoto wawili wa kike na mwanamke wa kwanza, akamwacha na kutafuta mwingine, nae kazaa naye wa kike wa3, kamwacha kaenda kwa mwingine wa tatu huyo, sasa ana watoto nae wawili wa kike bado, kuhangaika kote huko ni kwamba anatafuta mtoto wa kiume. Hivi bila kuwa na mtoto wa kiume hairidhishi eeh?

Angejua chanzo ni yeye asingehangaika. Mwananume ana mbeyu XY na mwanamke YY. Ili apatikane mtoto wa kiume, wakati viini vinaunga, inabidi itokee kuwa ile X ya mwanaume ndio iungane na Y ya mwanamke. Kama ikitokea mwanaume kutoa Y, basi mtoto anakuwa wa kike.

..watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa..
 
hahaaa..!mpe pole mi rafki angu ana me 3 na ke moja
 
Huyu jamaa kazaa watoto wawili wa kike na mwanamke wa kwanza, akamwacha na kutafuta mwingine, nae kazaa naye wa kike wa3, kamwacha kaenda kwa mwingine wa tatu huyo, sasa ana watoto nae wawili wa kike bado, kuhangaika kote huko ni kwamba anatafuta mtoto wa kiume. Hivi bila kuwa na mtoto wa kiume hairidhishi eeh?

Tatizo niyeye mwanaume machine hai fanyanyi kazi vizuri
 
at the end of the day mtoto ni mtoto tu huo ubaguzi wa watoto ni mbaya sana
 
Angejua chanzo ni yeye asingehangaika. Mwananume ana mbeyu XY na mwanamke YY. Ili apatikane mtoto wa kiume, wakati viini vinaunga, inabidi itokee kuwa ile X ya mwanaume ndio iungane na Y ya mwanamke. Kama ikitokea mwanaume kutoa Y, basi mtoto anakuwa wa kike.

..watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa..


Sidhani ka nimesahau kiasi hiki...
Nakumbuka genotype za me ni XY then za ke ni XX not YY.
 
Anaweza kujaaliwa kuwapata, halafu akizeeka wakawa wanamkaba. Watoto ni watoto tu, na huwezi kujua kusudio la Mungu.
 
Huyu jamaa kazaa watoto wawili wa kike na mwanamke wa kwanza, akamwacha na kutafuta mwingine, nae kazaa naye wa kike wa3, kamwacha kaenda kwa mwingine wa tatu huyo, sasa ana watoto nae wawili wa kike bado, kuhangaika kote huko ni kwamba anatafuta mtoto wa kiume. Sasa watoto wa kike wote wanini? wanaume tunataka watoto wa kusimamisha jina.
 
atamaliza wanawake wote hapa duniani ila yeye ndie mwenye tatizo
 
Hapa jamaa amekosa maarifa ya uzazi, hasa katika kipengele cha urutubishwaji wa mbegu za kike na kiume kuleta zao la kiumbe je ni chakike au cha kiume..
 
Back
Top Bottom