Nahitaji rafiki wa kike mwelewa na msikivu

Nahitaji rafiki wa kike mwelewa na msikivu

Mwelewa na msikivu iko tuu general ila kumbuka unataka kukutana na mtu ambaye mna background tofauti, uelewa tofauti nk nk nawe pia utatakiwa kuwa mwelewa na msikivu kwa kuwa ni kwa kutoa ndio tunapokea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom