MhayawaTanzania
Member
- Jul 28, 2014
- 70
- 10
napenda kutambua uwepo wa Honey Faith
kwa nn? kvp?Mnhhhhhhh...shibe la pilau limeanza kujibu...
kwa nn? kvp?
hahaaa news alert....
unatambua uwepo wake hapa Jf au uwepo wake hilo eneo ulilopo
a aa a aa a a aaaaa!!Si hivi unatambua uwepo wa mtu..ukishiba ndo inakuwa hivi?
popote pale alipo!hahaaa news alert....
unatambua uwepo wake hapa Jf au uwepo wake hilo eneo ulilopo
Ah haya bana nikutakie iddi munjema kwani unaonesha una roho mbaya hata kukaribisha pilau imekuwa noma!
mmmmmmmmh nipate glass ingine ya juice
pata wine kabisammmmmmmmh nipate glass ingine ya juice
hapana uchoyo hapa! karibu share yako bado ipo!!pilau bado lipo waweza kuja pande hizi chap chap sana
hapana uchoyo hapa! karibu share yako bado ipo!!