Natamani kuoa mwalimu, kutokea Moshi vijijini

Natamani kuoa mwalimu, kutokea Moshi vijijini

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,743
Reaction score
1,742
Naitwa Mwl Kimaro nafundisha Sec moja ipo Moshi vijijjini nimekua nikipata tabu kweli kwenye suala la kuchagua mke kama mnavyojua fani yetu hii bila mke hawa watoto watatufunga.

Natamani kuoa mwakani akiwa Mwl mwenzangu ntafurahi sana coz zile cheating gape zitakua chache ningependa awe mkristo tabia njema na mrefu kiasi! mawasiliano 0767279713
 
Mods do something, hili ni jukwaa la elimu.
 
sio lazma kila post uchangie! kama haikuhusu unaweza ipita tu!
 
Naitwa Mwl Kimaro nafundisha sec moja ipo Moshi vijijjini nimekua nikipata tabu kweeli kwene suala la kuchagua mke kama mnavyojua fani yetu hii bila mke hawa watoto watatufunga natamani kuoa Mwakani Akiwa Mwl mwenzangu ntafurahi sana coz zile cheating gape zitakua chache ningependa awe mkristo tabia njema na mrefu kiasi! mawasiliano 0767279713

Hivi ww una akili kweli? Natamani niwaone hao wanafunzi wako wakoje?
 
una elimu gan?mbona ka mambo unayofanya hata std seven leaver atakucheka,yan unatafuta mke mtandaoni?mwalimu mbona chance ya kupata mke mwalimu mwenzako zipo nyng tu,hv hujawah kwenda necta kusahihisha mikaratas ya wanetu?pia hujawah kwenda semina ya walimu wilayan/mkoani/ au kanda?na kusimamia mitihani je?..tumia elimu uloipata kukukomboa kimaadili au ndo tuseme ndo hasira coz nasikia baadhi yenu mmeznguliwa salary
 
Naitwa Mwl Kimaro nafundisha sec moja ipo Moshi vijijjini nimekua nikipata tabu kweeli kwene suala la kuchagua mke kama mnavyojua fani yetu hii bila mke hawa watoto watatufunga natamani kuoa Mwakani Akiwa Mwl mwenzangu ntafurahi sana coz zile cheating gape zitakua chache ningependa awe mkristo tabia njema na mrefu kiasi! mawasiliano 0767279713

Nenda pale weruweru kuna dada mmoja anaitwa ..........tena na yy anashida km yako ni mchaga wa mwika,mweupeeeeee km ........anafundisha accountancy ana shape kinyama.
 
Madomo zege bhana! Umekosa huko mashuleni au kwenye mikutano yenu mpaka ulete hapa? Umesikia hili jukwaa ni la umoja wa waalim? Sijui hata hao watoto unaofundisha kwa wataelewa kama ni domo zito hivo
 
watu wengine bana nshasema sio lazma kila post uchangie! kama haikuhusu
unaweza ipita tu! alaf mbna wengi wenu wanaume mnahtaji kuolewa!? sorry kwa ambaye aliandika vizuri huyu wa Weruweru mejaribu kumuulizia memkosa naomba ni pm jina lake na no# ka unayo sorry kwa usumbufu
 
Naitwa Mwl Kimaro nafundisha sec moja ipo Moshi vijijjini nimekua nikipata tabu kweeli kwene suala la kuchagua mke kama mnavyojua fani yetu hii bila mke hawa watoto watatufunga natamani kuoa Mwakani Akiwa Mwl mwenzangu ntafurahi sana coz zile cheating gape zitakua chache ningependa awe mkristo tabia njema na mrefu kiasi! mawasiliano 0767279713

Ndoa ndio taaluma peke yake duniani ambayo wahusika hufaulu na kupewa vyeti kabla ya kusoma; mafunzo yenyewe yako ndani ya Ndoa baada ya kuoana; i.e (learning through experience); kwa hiyo mwalimu ni wewe mwenyewe na mwenzio; baada ya kukuru kakara nyingi ndani ya ndoa; kushikana mashati na kuchaniana nguo, kurudi nyumbani saa 7 usiku, ulevi wa kupitiliza na visingizio vya vikao vya ofisini kuitana mbwa; kumwagiana maji moto; michepuko; udanganyifu kuhusu kipato na wanandugu; basi hapo mtakuwa mmehitimu na kuamua kama mtaendelea kubaki kama mke na mume au kuachana once and for all!
Mwalimu mwingine nje ya hapo atakuwa anakufundisha uzoefu wake ambao sio lazima ufanane na wa kwako kwa hiyo utakuwa umeBuggy!!; jitose uoe; na ndoa za siku hizi kazi kweli kweli!! ma-baby na ma-honey! Nonetheless Best wishes!
 
0784-445550
mcheki huyooo ....yupo pale Moshi machame shule ya sec Iliyasikika..Ana tech Math.....
 
Attachments

  • 1406797213767.jpg
    1406797213767.jpg
    15.5 KB · Views: 174
mapenzi na elimu haviingiliani peleka kuleee kwenye malavidavi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom