MAKRESH MMAKA
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 155
- 19
Hakuna kitu kinachoumiza katka maisha kama usaliti katika mapenzi.ndio usimwamini anaesema anakupenda na ukamkabidhi moyo wako wote unaweza ukanywa sumu.siamini kama rafiki yangu anakosa raha sababu ya demu wake alivyomtenda kwa kufanya mapenzi na mdogo wake inaniuma coz nayajua maumivu ya mapenzi