Habari zenu wadada!
Utanashati unahusika hivyo naomba kujua ni sehemu gani au duka gani ambalo unaweza pata jeans nzuri na mavazi ya kiofisi.
Asanteni.
MME: Ooh! Natamani sana iwe hivyo.
MKE: Vipi, wataka niondoke?
MME: Hapana hata kidogo!
MKE: Unanipenda?
MME: Ndo maanake.
MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi yangu?
MME: Siwezi huo upuuzi.
MKE...
Mwanaume amwomba Mchepuko wake mchango wa harusi wakati huyo mchepuko ameachika na mume wake. Kaenda mbali zaidi kamkampain awe mwenyekiti wa kamati yake ya harusi, na sisi kama wajumbe tukakubali...
Wana JF nisaidieni kwa hili....
Hivi karibuni nimeanza kazi baada ya kuhitimu chuo. Kipindi nikiwa nasoma nilikuwa sijihusishi na mambo ya mapenzi na wala nilikuwa sina mchumba kwa wakati huo...
Mimi nikijana nimekuja ktk hili jukwaa kumtafuta mpenzi anaye jua thamani ya mapenzi pia mwenye kujiheshimu sina vigezo vigumu awe mtafutaji wa maisha/awe anafanya kazi maelezo zaidi aje PM asanteni
umri wangu 28 mwanamke nae mtafuta atoke maeneo ya moshi,arusha kilimanjaro itakuwa poa kwan m npo maeneo haya kama upo tayar npm tubadilishane macontacts tayar kwa mawacliano.
Mwanamke mmoja na watoto wake
wawili, wameokolewa na wasamaria
wema baada ya kufungiwa na
mumewe kwenye nyumba bila
huduma muhimu kwa miaka mitatu
mfululizo kwa sababu ya wivu.
Tukio hilo...
Jamani nyie wanaume embu jaribuni kutusamehe na sisi tunapo kosea.
Mbona nyie mkikosa tunawasamehe mnadhani tuna moyo wa plastik.
Sasa mbona mnatutesa hivi nikikosa na kwambia sasa ni shidaaa...
Utakuta mwanamke ulishamtongoza na akakukataa tena kwa kejeli na dharau, sasa baada ya kumkuta ya kumkuta anaanza kurudi ooh mi nakupenda ule ulikuwa utoto...pumbavu utoto wapi!? Mbona ushagegedwa...
Wanaogopa kuonekana lovbt zao ama??
kabla ya hapo walikuwa wanasuguana hadi migongo wapendwa nakwambia wewe usieolewa kuwa makini
usipokemea haya yanakuja na kwako...leo hii ati baada ya miezi...
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!
The Boss kaka yangu (nakuita kaka nataka kukunyima nini ujiulize) aliniomba nije na somethin positive, somethin constructive...
Jamani wana JF mimi nina kaka yangu anaishi hapa mjini.
Nimekuwa na tabia ya kumaliza likizo nikiwa kwake, ila siku hizi sielewi ni kwa nini.
Maana huyu shemeji (mke wake) amekuwa anapenda sana...
Baada ya kuturia nikiskilizia maumivu ya kutendwa hatimae leo nimerudi tena nna imani sitoumizwa tena
Hivyo basi natafuta mchumba wa kike {girl friend}ambae atakuja kua mke wangu
Umri wangu...
Salaam zako mwana Jf
Wadau niko hapa kumtafuta mpenzi wakuanzisha nae hot love awe mkazi wa hapa dar sio mkoani
jina kamili naitwa France umri Wangu 32 mimi ni tall majikunde mwembamba wastani...
Hapa ofsin kuna mabinti watatu ambao kidogo wananivutia sasa katika chagua chagua nimekuta nshawaseti wote ila sasa kumalizia ndo napata wasiwasi maana wanakaa ofisi moja na nahisi nikila mmoja...
Habari wadau?
Binafsi nimekutana na wanawake wenye maumbile tofauti kule kwenye sehem zao kuu. Naomba tusaidiane wadau maana nashindwa kuelewa kama mwanamke akikeketwa huwa maumbile ya nanii yake...
Hope mko poa wanaJF
Kutabaia ambayo nimeiyona na kuishuhudia na mpaka leo na shuhudia.
Kuna wanawake unakuta yupo na mtu kwenye mahusiano lakini anachokifanya katika mahusiano yale ni kwa ajili...
Jamani mimi nimekuwa nikiwaza kugegedwa na mkaka ambaye ni naishi jirani nae. Mkaka mwenyewe sina mazoea nae kabisa je ni mapenzi au kwa sababu nina ugwadu? maana amenikaa sana kwenye akili...
Wakuu mimi kuna kitu kinanishangaza sana this days.zamani kidogo kwenye tendo la ndoa na mpenzi wako,ni lazima au ilikuwa ni desturi ukishusha lazima akuwahi na kitambaa ili akusafidhe...