Caffeine: Tiba kwa "maumivu" ya mapenzi

Caffeine: Tiba kwa "maumivu" ya mapenzi

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,356
(Mods kwa indhini yenu naomba hii topic iwe hapa MMU kwani ni watu wengi wanaleta issues zao hapa wanapokuwa "heart-broken"... Asanteni)

Kichwa cha habari hapo juu chahusika

Unapokuwa na maumivu ya mapenzi; kutendwa, kuachwa, (kuacha pia?!!) unapatwa na tatizo la depression.

Depression husababishwa na mwili kutoa hormones fulani ambazo huzima au kupunguza kazi za baadhi ya nerve kwenye ubongo.

Dalili; Hali ya kama maumivu (but sio maumivu per se) kifuani, hasira, huzuni - yaani hali ya kutojielewa elewa. Kwa ambao walishakutana nayo wanaelewa.

Secondary effects (samahani kwa kuweka kilugha): Inaweza kupelekea stress ambayo itasababisha mtu kukumbwa na magonjwa mengine kama kisukari, matatizo ya pressure, malaria, typhoid nk.

Baadhi ya watu (prone) hujikuta wakichukua maamuzi ya kudhuru au kujidhuru kirahisi.

Matibabu: Anti-depressants... na hapa ndipo ninapotaja kahawa (ambayo ina caffeine) Pia zipo dawa za hospitalini.

Kahawa. Kahawa ni chanzo kizuri cha caffeine. Kwa hiyo unapokuwa na hali hii kunywa kahawa kali (strong coffee), ninaposema strong coffee namaanisha vijiko vitatu vya chai vilivyojaa kwenye kikombe kimoja. Kunywa mara tatu kwa siku (jioni kunywa mapema maana ukichelewa itakukosesha usingizi usiku)

Energy drinks (mfano red bull au shark): najua zipo makala mbali mbali (nyingi za uwongo) zinazoonyesha hivi vinywaji vina madhara. Red bull moja ni sawa na strong coffee vikombe viwili hadi vitatu. So ukiamua kunywa hizi basi kunywa kikopo kimoja tu kwa siku.

Tiba hii ya depression sio kwa maumivu ya mapenzi pekee; pia kwa depressions za matatizo kama kufeli baadhi ya mambo katika maisha (mitihani, interview, kukosa ajira nk), lakini pia hata unapofiwa....

Kwa ambao wanahitaji details zaidi wanaweza ku-google...

NB: Kama una tatizo la high blood pressure basi caffeine sio tiba sahihi ya depression kwako. Muone daktari uandikiwe dawa nyingine...
 
Mkuu Tuko asante kwa article yako ambayo sina shaka lengo lake kuu lilikuwa ni kuelimisha. BUT caffeine inaweza kuongeza tatizo la depression hasa kama ukizidisha. Na uwezekano wa kuzidisha ni mkubwa kwa watumiaji wa mara kwa mara wa caffeine kwasababu caffeine is an addictive drug. Ikizoea sana kwenye system ya mwili wa mtumiaji inamfanya mtumiaji awe anapenda kuitumia mara kwa mara na hata kutaka kuongeza amount of caffeine intake per day, kitu ambacho kinaweza kufanya depression ya mtumiaji kuwa worse. Somaa nukuu hiyo hapo chini kutoka kwa wataalam wa Kansasa State University - of USA.

"The long-term (four hours or so) effects of caffeine are depression. Try to limit coffee to no more than one cup in the morning. Coffee can make you more alert for an hour or so, but later you get an opposite reaction. Caffeine tends to increase the release of insulin in the blood, and insulin lowers the blood sugar level. When you have low blood sugar levels, you begin to feel less sure of yourself, and have low energy levels, which can lead to the blues or depression."

Source: Kansas State University link yao hii hapa:
http://www.k-state.edu/counseling/topics/life/blues.html
 
Ni kweli mkuu...
Hapa nimeweka kama ushauri kwa matibabu ya muda mfupi. Nilichosahau kusema ni kwa kipindi kisichozidi around wiki moja.
Baada ya hapo iwe tu kwa matumizi ya kawaida na sio matibabu (nadhani hiyo inaweza kuhitaji topic nyingine kule jf doctor)...
 
Nahc itanifaa na maumivu haya ya mapenzi.
 
energy drinks (redbul, monster energy etc.) si nzuri kiafya. Madhara yake ni makubwa kuliko faida
 
Mkuu nina mashaka na usahii wa matumizi ya neno "tiba" hasa ulipoihusianisha na caffeine...
 
Long term solution isiyo na side effects ni kujikita kwenye mkakati wa kukua, yaani pambana kuboresha fikra zako na hali yako ya kimaisha, jichanganye katika pilika za maisha na jiweke karibu na marafiki wenye hekima.........time heals everything. Tiba ipo ndani yako zaidi kuliko kumeza dawa au vinywaji...............
 
Bange ndio inakupa stimu ya uhakika....try it...💏💏💏
 
Mie nikichwa kahawa silali ,sasa hapo si ndo itanimaliza changanya stress na kahawa inikoseshe usingizi

asante Tuko
 
Last edited by a moderator:
Mie nikichwa kahawa silali ,sasa hapo si ndo itanimaliza changanya stress na kahawa inikoseshe usingizi

asante Tuko

Kama uko under normal state ukinywa kahawa ndo hulali, ila uko under depression state ukinywa kahawa haizuii kulala. Hata hivyo unywe at least masaa 4 kabla ya mda wako wa kulala...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom