Kifupi naomba nikushirikishe jambo hili nilikuwa kwenye mahusiano na binti mmoja kipindi hicho nipo chuo mwaka wa kwanza mpaka mwaka huu almost four years. NilijitahidI kumtimizia kila nilichoweza...
Thursday, September 24, 2009 5:36 AM
Kama siku utaamua kutembelea Japan na hauna rafiki yoyote unayemjua nchini humo usitie shaka hata kidogo kwani kuna makampuni mengi yanayotoa marafiki feki wa...
Every thing in the world need one to be complete.
The real man needs a woman to be a man. If you donot have a woman kila siku uta sumbuka.
Mwanamke atakufariji na kukupa nguvu ya kusonga mbele...
Hi good people!, am baaaack!,did you miss me?!...lol!
Naanza, na nimesema BAADHI ya wanaume(well,mostly) wasiowajibika but, am not touching Finance, naongelea kutowajibika kitabia. Wale wasochoka...
Wanajamii na marafiki zetu wote,
Mpenzi wangu shansarie anaumwa!
She got some problems to her Ears,
Prayers from you and wishes will be helpful to her.
Get well soon Mke wangu. I love you sana,
Habiri wakuu,
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka isiyozidi 25 lakini haipo chini ya 21. Natafuta rafiki wa kike mwenye Umri usiopungua miaka 20 but usizidi miaka 35. Awe anapenda kusocialize...
Salam.
Jamani mimi sijielewi,sijui nimekuaje kwa kweli,sasa naanza kuamini kuna uchawi wa mapenzi.
Kwa ufupi,kuna binti nilianza nae mahusiano miaka 2 iliyopita,ilikua ni one night stand. Huyu...
Jaribu kila siku kukaa mwenyewe sehemu tulivu ,ongea kwa kumaanisha na kuamini.
Mfano popote ulipo nakupenda sana na najua unanipenda sana, huwa nakuwaza sana na napenda tuwe pamoja siku zote...
Kiswahil hakijakaa kimahaba kabisa mfano mimi dame akanambia mpenzi nakupenda namona mwizi tu hana lolote. Kwa ufupi kswahili acheni watumie askari na jeshi sio katika mapenzi lakini English...
Hii picha haihusiani na habari hii.....................
Inaniumiza sana kuikumbuka, hasa kuisimulia, lakini nimeambiwa kuwa, kwa kusema jambo hili wazi, naweza kupata nafuu. Hata hivyo naamini...
Jamani kinadada mliopata nafasi yakusoma hii thread, kuweni makini kwenye mahusiano yenu, jitahidini kuchunguza ni nani ana pendo la dhati kwako, pesa zipo tuu lakini mapenzi ya kweli ndio kila...
Miongoni mwa vitu ambavyo vinaharibu ndoa ni mapishi japo wanawake wengi huwa hawatilii maanani.
Kuna wanawake hata kupika hawajui siku hizi yaani chakula kikiletwa mezani unatamani ule tonge...
Habarini waungwana
Leo napenda japo kwa ufupi niwashangae wanaume wenzangu ambao wanakuwa na pupa kunako 6x6 na kusababisha mateso kwa dada zetu hivi kwanini mwanaume mzima unakuwa na haraka ya...
Inasemekana kuna kabila moja nchini kenya wanawake huwa wanawanyanyasa na kuwapiga wanaume zao.na hii picha ni ya mmoja wa wanaume ambaye amekutana na ukatili wa mke wake....jewanawake wa tanzania...
Wasalaam.
Tangu niwe mtu mzima sijawahi kusikia mapenzi yamekamilika.
Kila siku nasikia visa vya kimapenzi, huyu kanywa sumu, huyu kamchinja mpenzi wake, huyu anafurahia mapenzi, huyu analia...
Unakuta mwanaume mwenye mindevu yake tena anajenga bifu na mshikaji kisa mwanamke..... hivi hii ni akili au tope kama umetongoza ukakataliwa mwenzio akakubaliwa sasa bifu la nini ulitaka utongozwe...
Mujini kuna mengi tusiyoyajua.
Nimeiskia kwa watu kama watatu sasa. Mdada anakuwa na boyfriend na anakuwa na mchumba. Sasa ikiwa bado kama wiki moja akafunge ndoa anaenda kwa boyfriend eti kupiga...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, elimu ya wastani, maji yakunde, mkristo,
Natafuta binti mwenye heshima, anayejipenda, anayejua kupika,anayependa usafi, mweusi/ maji ya...
Habari Wadau wa love connect, mm ally niko Zanzibar, nina miaka 26, Nimemaliza degree nafanya kazi natafuta mchumba kwa lengo la kupanga maisha hapo baadae tukiwa wote na kufunga ndoa. Sifa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.