Dalai Lama in Tz
Member
- Apr 8, 2025
- 60
- 91
Wakuu kwema?
Niende direct kuna member humu JF anaitwa mamdenyi nimetokea kumpenda sana nimekufa nimeoza wakuu. Ana hekima, busara, mpole, mtaratibu hana makuu.
Naimani hajaolewa naomba mimi nikuoe mamdenyi, nitakuwa mume mwema na mtiifu kwako.