jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,027
- 4,316
Ndugu nimejaribu mara kadhaa kutaka kununua dada poa ila kila nikisogea buchani kununua nyama najikuta nimeghairi.
Sijui ni hofu au ni nini ila ghafla nasahau kabisa nilichokusudia kununua, ndugu zangu moyoni najikuta kabisa nimesahau halafu nakumbuka maneno haya tuu
"Amani ya moyoni ni njema sana wewe kunywa mitungi achana na dada poa hela ni yako kula pombe tuu dada poa siyo wako".
Nimejilazimisha mara kadhaa kununua dada poa ila hali imekua ngumu, kuna kipindi nilipata dada poa zuri kwa makubaliano ya usiku mzima kufika chumbani mashine imegoma kusimama kabisa baada ya kuvua nguo.
Alinisii sana acha hofu, jiamini ila tupige kazi ila ilinishinda moyo wangu ulikua kabisa na his umesinyaa alafu unauma kama umechomekwa kitu cha ncha kali.
Ndugu nilimlipa mtoto wawatu akaondoka zake kwa kweli, nimebadili machimbo ila kila nikifika chimboni sasa siwezi nunua kabisa naona kama nimefungwa mikono, miguu na macho.
Ndugu zangu mnao nunua dada poa mnawezaje basi na mioyoni mwenu mnajisikiaje sikiaje maana?