Ulishampiga Mwanamke? Imeniuma sana...

Rabboni

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
709
1,000
Wakuu heshima kwenu.
Maisha yetu ya kazi yamejaa visa na mambo mengi sana...

Sikuwahi kudhani kama ningekuja kumwadhibu mwanamke kwa kumpiga in my life, lakini imetokea na mbaya zaidi huyu dada anatake advantage kwenye hili kwasababu tu nimeamua kumwomba msamaha.

Kuna dada kahamishiwa kitengo ninachofanyia kazi, na hana hata muda mrefu sana toka ahamie hapo. Bahati nzuri/mbaya nilimpokea mimi na nilipaswa kumpa na kumwelekeza utaratibu wote wa kazi kwasababu kazi aliyokuwa anaifanya hapo awali inatofautiana na hii anayofanya hapa.

Kumpokea bidada, ilibidi niwe social sana ili aweze kucopy na mazingira mapema na kwakweli na yeye alikuwa social vyakutosha, akanizoea(kwa nje tu) nikamzoea...mwezi ukaisha, alianza kuleta utani utani ambao sikujua kama ungeweza kufika hatua uliofikia juzi, kuna siku alikuja mezani kwangu akachukua cable ya laptop yangu afu akamute (nilijua ni yeye tu, coz hakuna mwingine angeweza kuchukua kwanza wananiogopa except yeye tu)...nimeuliza kila mtu hakuna anayejua iliko na wengi waliniambia nitakuwa nimeiacha nyumbani.

Sikujali sana, nikaamua niachane nayo na kwa kweli wala sikununua cable nyingine as nilijua ni mtu wa palepale kanifichia. Zilipita kama wiki mbili hivi, mpaka ilivyofika juzi(jumatatu) mchana kuna kitu nilitaka nikamuulize nikaiona ile cable, nikamuuliza...akaniambia hiyo sio ya kwako, mhh nikamwambia isiwe shida naondoka nayo, ukikasirika sana uende polisi, ndivyo nilivyomwambia.

Sasa huyu binti sijui akili yake ilimtumaje, wakati naingia ofisini kwangu akaja, bahati nzuri mdada mwingine naye akaja wakawa wawili mle ndani, yeye hakusema chochote.

Yule mwingine, ambaye pia ni rafiki yangu wa karibu(not my wife) alikuja kuniuliza tu mambo machache yakufanya na kunitaarifu kuwa ataondoka mapema...basi akatoka na mwenzie naye akatoka bila kusema chochote.
Huyu mwingine, aliyesema ataondoka mapema alirudi tena akaiona ile cable ndiyo kuniuliza umeipata wapi? Nikamwambia nilipoipata...akashangaa kidogo, huu ujasiri wa huyu dada unatoka wapi? Akaniambia lakini na wewe umemjengea mazoea mabaya mno, afu hata hakufahamu.

Kiukweli sikujisikia vizuri sana, nikamwambia E hata mimi naondoka sasa hivi coz zilibaki kama dakika 35 muda uishe. Basi tukakubaliana kuondoka, yeye akaenda kukamilisha mambo yake na mimi nikakamilisha kuweka vitu sawa kabla ya kuondoka, nimemaliza kila kitu naanza kutafuta funguo za gari zisioni, na ninakumbuka kabisa kuwa niliziweka pale mezani.
Nikashuka chini kwa woga ila nikakuta gari ipo. Nikarudi ofisini nikamwona yule dada kama vile anamwambia E kitu, nilimsikia akimalizia mpaka arudishe cable. mhh sikurudi ofisini nikashuka tena chini pale lilipo gari, nikampigia huyu rafiki yangu simu nikamuuliza umeona funguo za gari mezani kwangu? Akanijibu hapana...ofcoz nilirudi chini ili nisipaniki...

Nilimuuliza tena hujaona hata mtu aliyezichukua? Akaguna!! Ikabidi nimwambie nilichosikia wakati napanda kuja ofisini, ndiyo akaniambia hebu ngoja nimuulize tena.
Hapo hasira zimenipanda kwelikweli ikabidi niende tu mwenyewe wakati naenda nikapishana na Bosi wetu, akaniaga pale basi akaondoka hakufahamu chochote.
Ile nimerudi nikamsikia yule rafiki yangu E, akimwambia yule dada aisee unajua unatafuta ugomvi, akamwambia aah wapi, hapo wapo ofisini kwangu.

Nikaingia nikamuuliza Madame did you take my car keys here? Alichonijibu ni, nenda polisi...aisee nilikasirika sana.
Nikamwambia ni kwanini uchukue funguo zangu afu uniambie niende Polisi? Akaniambia unakumbuka ulichonimbia wakati unachukua cable? Nilirudi nyuma kidogo nikafunga mlango...Nikamwambia huo ujasiri unautoa wapi? Hapo tupo watatu tu!! Akasema rudisha cable nikupe funguo zako, aisee nilikuwa nina uhakika 100% cable ni ya kwangu.

Mdada akawa anataka kutoka mle ofisini, hapo kipimo changu cha hekima na busara kilikuwa kinasoma 0.
Nilimchapa kibao kimoja kitakatifu, weee akachanganyikiwa, hapo yule rafiki yangu akawa ameshanishika akaniomba sana nisimpige please please don't beat her,
Nikamwamrisha anipe funguo, nikafungua mlango nikamwambia nakupa dakika moja lete funguo hapa, bahati nzuri alielewa akaenda akazileta huku analia, alivyoingia tu E akafunga mlango ili mtu mwingine yoyote asijue mle ndani nini kilikuwa kinaendelea.

Sasa akazinipa, akili yangu ikaja haraka nikasema nichukue muda ule ule kumwonya, ooh...acha dada aanze kunipasukia umenipiga?? unajua hakuna mtu yoyote aliyewahi kunipiga even my own father, wewe unanyoosha mkono wako kunipiga, who are u idiots.
Yule rafiki yangu akawa anajaribu kumsihi anyamaze, sasa yeye akaendelea kuongea nikamfuata, nikamwambia cable ni ya kwako? akasema hata kama sio yangu, wewe kwanini uliniambia niende polisi?

Huyu mtu alinipandisha hasira bahati nzuri E alisimama katikati ila niliweza kumshika mkono wake wa kushoto, nikaubinya kwa kuusokota vizuri, kimya kimya alitulia tulii, nadhani maumivu aliyoyasikia hayakuwa madogo, alimwomba yule rafiki yangu(nimezoea kumwita E) aniambie nimwachie...akanisihi nimwache nikamwacha akakaa chini kabisa.
Nikawaacha hapo nikaondoka zangu. E anaweza kunifungia ofisi.

Nimefika nyumbani, nikakuta wife naye kesharudi...daah, nikamwambia natoka kidogo kukutana na J, (wife anamjua huyu jamaa yangu) sikwenda kwa J, nikapark maeneo flani nikampigia E, nilimwambia anisamehe kwasababu nilishindwa kuzuia hasira zangu. Mpaka nikamwadhibu yule dada...akanielewa.

Moyo wangu ulisononeka sana kwa kukosa busara na hekima hadi kumpiga yule dada, nilimtext kiukweli kwa lengo la kumwomba msamaha "I am sorry for what happened"...
Akanijibu "we niache tu kama bifu na iwe bifu tu. Nitakuchukia maisha yangu yote."

Duuh, kikazi na kinafasi namzidi sana...sasa nikafikiria anaweza kuniwekewa bifu wapi!! As kwa namna moja anawajibika kwangu kikazi...

Nikaona isiwe ishu, nikamjibu haina haja yakuwekeana bifu, samehe tu. Akajibu "Achana na mimi...wewe si unajua kupiga"...

Kesho yake kazi zikaamka kama kawaida, hakunisalimia na wala sikujichosha kumsalimia, na bahati nzuri hakufimba hata, ila nilimchunguza nikaona kama ule mkono wake haukuwa sawa sana, nikapotezea tu!! Nikamwita E ofisini ili aniambie ni nini kiliendelea, kwasababu kwenye simu sikumuuliza.

Akaniambia tu kuwa huyu dada yeye mwenyewe alimwacha, nikamuuliza kuna mtu yeyote aliyejua kilichotokea? Akaniambia inawezekana hakuna aliyejua.
Basi nikamwadisia nilivyomwomba msamaha, na jinsi alivyorespond, mhh mwache tu.

Nilijua asingeweza kwenda kushtaki kwa bosi kwa sababu anajua urafiki tulionao, na alijua fika mimi ningemwadisia bosi stori yote, ila sikufanya hivyo.
Nilinyamaza tu...niki asign kazi anafanya tu, sema ndiyo haongei na mimi...
Jana nilikua naanza likizo yangu, kuna watu muhimu niliyotakiwa kuagana nao coz hatutaonana kwa hizo siku 28 za likizo.

Nilimaliza kuagana na watu wa idara zote pale...sasa nikiwa ofisini wazo la kuomba msamaha face to face likanijia, nikamwita yule dada, nikamwambia kwanini unakuwa mgumu kusamehe?
Akaniambia siwezi kusamehe kwa sasa...mhh nilishangaa sana, nikajiuliza inamaana yeye haoni kama ana kosa? Sikutaka kumwuuliza juu ya makosa yangu...

Nikamwambia naenda likizo kweli, ukiwa na kinyongo? Kwanini usisamehe tu yaishe? Alinijibu hapana kwa kweli, we nenda tu.
Nikamtania vipi sasa kama ikitokea nikaondoka kabisa au wewe ukaondoka!! utaenda mbinguni na deni?
Akaniambia yeye atakuwa hadaiwi...

Aisee nikamwambia basi kama umekataa siwezi kukulazimisha...Akaondoka.

Nimemaliza mambo yangu pale, nimeanza likizo yangu! Sijui ni lini atauachilia huo msamaha wake...
Hata yeye anamakosa but i feel guilty because she is a woman.
Sikuwahi kufikiri kama ningekuja kunyoosha mkono wangu na kumpiga mwanamke tena asiyekuwa mke wangu.
Huwa nawakoromea tu but sio kuwapiga.

Sasa sijui anataka kuombwa msamaha kwa style gani..
Is there any way you can suggest?
 
CaptainDunga

JF-Expert Member
Jul 17, 2009
1,550
2,000

Umeshindwa kumsoma huyo Binti anataka nini?
 
koboG

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
980
1,000
pole sana mkuu lakini wakati mwingine hawa viumbe huwa wanavuka mipaka wewe uwe na amani maana sidhani kama bifu lake litakupunguzia haya chembe ya mafanikio yako as long as umeshaomba msamaha muache nae ajibu kadri hekima yake itakavyomuongoza
 
ElviceJunior

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
311
500
Mkuu unahisi asipokusamehe nini kitatokea?
Je anaweza kusababisha ukaachishwa au kufukuzwa kazi?
Au vipi unadhani anaweza sababisha ukashushwa cheo chako hapo kazini?
Kwetu sisi wakristo Biblia inatuelekeza Tusamehe Mara sabini Mara saba ...
As long as she was the sources ya yote yaliyotokea na una ushahidi hundred percent kwamba haukumkosea for that extent, ninachokushauri ni kwamba just leave her ngoja abaki na kinyongo chake Mungu ndo atamuamulia make you've done your part..
Wanaume kama wewe wanaoomba msamaha kwa kiasi icho ni wachache sana nadhani huyo binti atakua na ya ziada matatizo
Ahsanteeeeeeee.
 
Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,604
2,000
Kuomba msamaha ni ujinga sana..
Nishakataa kuomba msamaha mwanamke tena labda awe mke wangu
Wakuu heshima kwenu.
Maisha yetu ya kazi yamejaa visa na mambo mengi sana...

Sikuwahi kudhani kama ningekuja kumwadhibu mwanamke kwa kumpiga in my life, lakini imetokea na mbaya zaidi huyu dada anatake advantage kwenye hili kwasababu tu nimeamua kumwomba msamaha.

Kuna dada kahamishiwa kitengo ninachofanyia kazi, na hana hata muda mrefu sana toka ahamie hapo. Bahati nzuri/mbaya nilimpokea mimi na nilipaswa kumpa na kumwelekeza utaratibu wote wa kazi kwasababu kazi aliyokuwa anaifanya hapo awali inatofautiana na hii anayofanya hapa.

Kumpokea bidada, ilibidi niwe social sana ili aweze kucopy na mazingira mapema na kwakweli na yeye alikuwa social vyakutosha, akanizoea(kwa nje tu) nikamzoea...mwezi ukaisha, alianza kuleta utani utani ambao sikujua kama ungeweza kufika hatua uliofikia juzi, kuna siku alikuja mezani kwangu akachukua cable ya laptop yangu afu akamute (nilijua ni yeye tu, coz hakuna mwingine angeweza kuchukua kwanza wananiogopa except yeye tu)...nimeuliza kila mtu hakuna anayejua iliko na wengi waliniambia nitakuwa nimeiacha nyumbani.

Sikujali sana, nikaamua niachane nayo na kwa kweli wala sikununua cable nyingine as nilijua ni mtu wa palepale kanifichia. Zilipita kama wiki mbili hivi, mpaka ilivyofika juzi(jumatatu) mchana kuna kitu nilitaka nikamuulize nikaiona ile cable, nikamuuliza...akaniambia hiyo sio ya kwako, mhh nikamwambia isiwe shida naondoka nayo, ukikasirika sana uende polisi, ndivyo nilivyomwambia.

Sasa huyu binti sijui akili yake ilimtumaje, wakati naingia ofisini kwangu akaja, bahati nzuri mdada mwingine naye akaja wakawa wawili mle ndani, yeye hakusema chochote.

Yule mwingine, ambaye pia ni rafiki yangu wa karibu(not my wife) alikuja kuniuliza tu mambo machache yakufanya na kunitaarifu kuwa ataondoka mapema...basi akatoka na mwenzie naye akatoka bila kusema chochote.
Huyu mwingine, aliyesema ataondoka mapema alirudi tena akaiona ile cable ndiyo kuniuliza umeipata wapi? Nikamwambia nilipoipata...akashangaa kidogo, huu ujasiri wa huyu dada unatoka wapi? Akaniambia lakini na wewe umemjengea mazoea mabaya mno, afu hata hakufahamu.

Kiukweli sikujisikia vizuri sana, nikamwambia E hata mimi naondoka sasa hivi coz zilibaki kama dakika 35 muda uishe. Basi tukakubaliana kuondoka, yeye akaenda kukamilisha mambo yake na mimi nikakamilisha kuweka vitu sawa kabla ya kuondoka, nimemaliza kila kitu naanza kutafuta funguo za gari zisioni, na ninakumbuka kabisa kuwa niliziweka pale mezani.
Nikashuka chini kwa woga ila nikakuta gari ipo. Nikarudi ofisini nikamwona yule dada kama vile anamwambia E kitu, nilimsikia akimalizia mpaka arudishe cable. mhh sikurudi ofisini nikashuka tena chini pale lilipo gari, nikampigia huyu rafiki yangu simu nikamuuliza umeona funguo za gari mezani kwangu? Akanijibu hapana...ofcoz nilirudi chini ili nisipaniki...

Nilimuuliza tena hujaona hata mtu aliyezichukua? Akaguna!! Ikabidi nimwambie nilichosikia wakati napanda kuja ofisini, ndiyo akaniambia hebu ngoja nimuulize tena.
Hapo hasira zimenipanda kwelikweli ikabidi niende tu mwenyewe wakati naenda nikapishana na Bosi wetu, akaniaga pale basi akaondoka hakufahamu chochote.
Ile nimerudi nikamsikia yule rafiki yangu E, akimwambia yule dada aisee unajua unatafuta ugomvi, akamwambia aah wapi, hapo wapo ofisini kwangu.

Nikaingia nikamuuliza Madame did you take my car keys here? Alichonijibu ni, nenda polisi...aisee nilikasirika sana.
Nikamwambia ni kwanini uchukue funguo zangu afu uniambie niende Polisi? Akaniambia unakumbuka ulichonimbia wakati unachukua cable? Nilirudi nyuma kidogo nikafunga mlango...Nikamwambia huo ujasiri unautoa wapi? Hapo tupo watatu tu!! Akasema rudisha cable nikupe funguo zako, aisee nilikuwa nina uhakika 100% cable ni ya kwangu.

Mdada akawa anataka kutoka mle ofisini, hapo kipimo changu cha hekima na busara kilikuwa kinasoma 0.
Nilimchapa kibao kimoja kitakatifu, weee akachanganyikiwa, hapo yule rafiki yangu akawa ameshanishika akaniomba sana nisimpige please please don't beat her,
Nikamwamrisha anipe funguo, nikafungua mlango nikamwambia nakupa dakika moja lete funguo hapa, bahati nzuri alielewa akaenda akazileta huku analia, alivyoingia tu E akafunga mlango ili mtu mwingine yoyote asijue mle ndani nini kilikuwa kinaendelea.

Sasa akazinipa, akili yangu ikaja haraka nikasema nichukue muda ule ule kumwonya, ooh...acha dada aanze kunipasukia umenipiga?? unajua hakuna mtu yoyote aliyewahi kunipiga even my own father, wewe unanyoosha mkono wako kunipiga, who are u idiots.
Yule rafiki yangu akawa anajaribu kumsihi anyamaze, sasa yeye akaendelea kuongea nikamfuata, nikamwambia cable ni ya kwako? akasema hata kama sio yangu, wewe kwanini uliniambia niende polisi?

Huyu mtu alinipandisha hasira bahati nzuri E alisimama katikati ila niliweza kumshika mkono wake wa kushoto, nikaubinya kwa kuusokota vizuri, kimya kimya alitulia tulii, nadhani maumivu aliyoyasikia hayakuwa madogo, alimwomba yule rafiki yangu(nimezoea kumwita E) aniambie nimwachie...akanisihi nimwache nikamwacha akakaa chini kabisa.
Nikawaacha hapo nikaondoka zangu. E anaweza kunifungia ofisi.

Nimefika nyumbani, nikakuta wife naye kesharudi...daah, nikamwambia natoka kidogo kukutana na J, (wife anamjua huyu jamaa yangu) sikwenda kwa J, nikapark maeneo flani nikampigia E, nilimwambia anisamehe kwasababu nilishindwa kuzuia hasira zangu. Mpaka nikamwadhibu yule dada...akanielewa.

Moyo wangu ulisononeka sana kwa kukosa busara na hekima hadi kumpiga yule dada, nilimtext kiukweli kwa lengo la kumwomba msamaha "I am sorry for what happened"...
Akanijibu "we niache tu kama bifu na iwe bifu tu. Nitakuchukia maisha yangu yote."

Duuh, kikazi na kinafasi namzidi sana...sasa nikafikiria anaweza kuniwekewa bifu wapi!! As kwa namna moja anawajibika kwangu kikazi...

Nikaona isiwe ishu, nikamjibu haina haja yakuwekeana bifu, samehe tu. Akajibu "Achana na mimi...wewe si unajua kupiga"...

Kesho yake kazi zikaamka kama kawaida, hakunisalimia na wala sikujichosha kumsalimia, na bahati nzuri hakufimba hata, ila nilimchunguza nikaona kama ule mkono wake haukuwa sawa sana, nikapotezea tu!! Nikamwita E ofisini ili aniambie ni nini kiliendelea, kwasababu kwenye simu sikumuuliza.

Akaniambia tu kuwa huyu dada yeye mwenyewe alimwacha, nikamuuliza kuna mtu yeyote aliyejua kilichotokea? Akaniambia inawezekana hakuna aliyejua.
Basi nikamwadisia nilivyomwomba msamaha, na jinsi alivyorespond, mhh mwache tu.

Nilijua asingeweza kwenda kushtaki kwa bosi kwa sababu anajua urafiki tulionao, na alijua fika mimi ningemwadisia bosi stori yote, ila sikufanya hivyo.
Nilinyamaza tu...niki asign kazi anafanya tu, sema ndiyo haongei na mimi...
Jana nilikua naanza likizo yangu, kuna watu muhimu niliyotakiwa kuagana nao coz hatutaonana kwa hizo siku 28 za likizo.

Nilimaliza kuagana na watu wa idara zote pale...sasa nikiwa ofisini wazo la kuomba msamaha face to face likanijia, nikamwita yule dada, nikamwambia kwanini unakuwa mgumu kusamehe?
Akaniambia siwezi kusamehe kwa sasa...mhh nilishangaa sana, nikajiuliza inamaana yeye haoni kama ana kosa? Sikutaka kumwuuliza juu ya makosa yangu...

Nikamwambia naenda likizo kweli, ukiwa na kinyongo? Kwanini usisamehe tu yaishe? Alinijibu hapana kwa kweli, we nenda tu.
Nikamtania vipi sasa kama ikitokea nikaondoka kabisa au wewe ukaondoka!! utaenda mbinguni na deni?
Akaniambia yeye atakuwa hadaiwi...

Aisee nikamwambia basi kama umekataa siwezi kukulazimisha...Akaondoka.

Nimemaliza mambo yangu pale, nimeanza likizo yangu! Sijui ni lini atauachilia huo msamaha wake...
Hata yeye anamakosa but i feel guilty because she is a woman.
Sikuwahi kufikiri kama ningekuja kunyoosha mkono wangu na kumpiga mwanamke tena asiyekuwa mke wangu.
Huwa nawakoromea tu but sio kuwapiga.

Sasa sijui anataka kuombwa msamaha kwa style gani..
Is there any way you can suggest?
 
Liwagu

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
2,053
2,000
Huu Uzi Ni mpya, Na mrefu..Why usitafute alivyojibu Kifupi Ndo umquote...Jaribu kutumia hekima.Vimaneno vyenyewe umejibu Kifupi kututeremshia liuziiii lote
Yaah, hakukuwa na haja ya maneno meeeeeeeeengi.
 
Sooth

JF-Expert Member
Apr 27, 2009
3,903
2,000
Huyo demu unampenda, labda tu hujagundua. Na ninaamin mkija kupatana mtapeana. Umefanya kosa kubwa sana kumpiga huyo binti. Kumbuka hata serikalini-kitendo cha kupigana kazini unatimuliwa kazi. Ulipaswa kumshitaki kwa bosi wenu au kwenda polisi. Kosa la kwanza ni kumpiga, kosa la pili kutuma meseji ya kuomba msamaha tena siku hiyo hiyo-hapa unaweka ushahid kuwa ulimpiga. Kamwe usianzishe ugomvi kazini.

Ingekuwa ni waifu ningekuelewa maana kuna makabila yana asili ya utata kama wanyakyusa na wameru na jamii za Arusha. Hao wakizingua na usipopiga wanakupiga wenyewe.
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
6,953
2,000
Sijui ulimjengea mazingira gani mpaka akaamua akuzoee kiasi hicho. Ila cable si ya kwake, na hata alivyoulizwa na E alikiri kuwa hata isipokuwa yake, ni lazima uirudishe. Hapo inaonesha jinsi asivyo na busara, kufanya mambo ya kitoto kabisa kama vile mko mazingira ya nyumbani hivi. Kupiga si vizuri, ila sidhani kama ungezipata hizo funguo bila ya purukushani ya aina yoyote, labda ungempa cable. Lililotokea, limeshatokea. Umeomba msamaha, pengine ni mapema kwa yeye kusamehe, kutokana na hasira na kutokutegemea hatua uliyoichukua. Pengine kwa kipindi ambacho haupo, atapata muda wa kutafakari. Kama atasamehe au la, la kujifunza ni bora ungeirudisha hiyo cable, na kumueleza kwa uwazi kabisa kuwa kusiwe na mazoeano ya kiasi hicho.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom