Kuanzia Leo naanza kupiga kama Malaya wengine tu

dokolombwike

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
373
Reaction score
623
Nna mpenzi wangu ambaye nimedum nae kwa mda wa miaka mitano hadi sasa,na malengo yangu ilikuwa nimuoe mwakani kama mungu angependa.na nakiri kuwa tunapendana sana,sasa kisa chenyewe ni hv.Mimi huwa siingii Facebook Mara kwa mara kutokana na ujinga ambao upo kule muda mwingi hutumia huku na great thinkers wenzangu.sasa cha ajabu Jana nimeingia Facebook nakuta kaweka picha ya lijamaaa bila aibu.halafu kaandika.I........so much.kiukweli nilipagawa sana ila badae nikamuuliza akaniambia yule ni kaka ake.nikamuuliza vipi kuhusu maneno aliyoandika,akasema kumpenda MTU sio lazima kimapenzi.nikasema sawa.sasa nimeamua kumtumia kama Malaya wengine tu huku nikitafuta mke ila bila yeye kujua.na siku atashangaa natangaza ndoa tu.wanawake msioolewa jichunguzeni inawezekana mnakosea vitu vidogodogo kama vya huyu ndizi mshale.halafu anafanya haya yote bora angekuwa anachura useme unaweza ikamsaidia mim kurudisha mawazo nyuma.ha ndizi mshale tena.narudia ntaendelea tu kutumia tu papuchi yake.
 
Kabla hujaacha fanya utafiti kwanza kujiridhisha kwasababu ulivyoandika naona ni hasira tupu.
Mwambie akupe background ya huo ukaka kama ni wa familia au la..kuna kabila kaka anatikisa nyavu ya Dada hasa mtoto wa Mjomba au shangazi.
Unaweza ruka .....ukakanyaga mkojo.
 
Nna mpenzi wangu ambaye nimedum nae kwa mda wa miaka mitano hadi sasa,na malengo yangu ilikuwa nimuoe mwakani kama mungu angependa.na nakiri kuwa tunapendana sana,sasa kisa chenyewe ni hv.Mimi huwa siingii Facebook Mara kwa mara kutokana na ujinga ambao upo kule muda mwingi hutumia huku na great thinkers wenzangu.sasa cha ajabu Jana nimeingia Facebook nakuta kaweka picha ya lijamaaa bila aibu.halafu kaandika.I........so much.kiukweli nilipagawa sana ila badae nikamuuliza akaniambia yule ni kaka ake.nikamuuliza vipi kuhusu maneno aliyoandika,akasema kumpenda MTU sio lazima kimapenzi.nikasema sawa.sasa nimeamua kumtumia kama Malaya wengine tu huku nikitafuta mke ila bila yeye kujua.na siku atashangaa natangaza ndoa tu.wanawake msioolewa jichunguzeni inawezekana mnakosea vitu vidogodogo kama vya huyu ndizi mshale.halafu anafanya haya yote bora angekuwa anachura useme unaweza ikamsaidia mim kurudisha mawazo nyuma.ha ndizi mshale tena.narudia ntaendelea tu kutumia tu papuchi yake.
Safi sana, ndo dawa yao, kumbuka ndom tu!
 
Amri ya 6...Usizini
Tulia mwombe Mungu atakupa chaguo lako.
Kuna maradhi brathe mojawapo ni huu unafanya watu wakeshe wakitafuta dawa HIV/AIDS.
 
Hahahah muache mapema kabla hajakuacha.
Maana hapo anakupa papuchi lakini hisia anavutia kwa huyo Wa fb. Wala hakuna hisia kwako.
Mwambie aende tuu maana atakuletea zengwe then anasepa
 
Back
Top Bottom