Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kichwa kinaniumwa toka majina ya wadaiwa wa Mikopo yatolewe. Najisikia kizunguzungu tu kila wakati ni kama nataka kuzimia,kufa au kupoteza Fahamu. Nina binti mmoja ambaye amenisumbua sana mwaka...
3 Reactions
90 Replies
8K Views
Unamimba ya miezi nane unakuja kugundua mwanamke mwenzako anamimba ya miezi mitatu ya mwanaume huyo huyo uliyefunga naye ndoa. Naombeni ushauri nifanyaje nichukue maamuzi yapi.
3 Reactions
44 Replies
8K Views
Ni mpaka uishi hayo maisha ndio unaweza kupata hisia halisi za hii mada. Hapa nazungumzia wale wazazi kwa sababu zozote zile waliwatelekeza watoto wao udogoni na kuja kuonana nao ukubwani. Hapa...
36 Reactions
119 Replies
8K Views
Asilimia 97% kwa ulewa wangu wa mafumanizi yote niliyoyaona mwanamke huwa hapigwi mwanaume ndo wa kupiga. sasa kama wote wana makosa kwanini wasivunwe pengine hata mwanamke achomwe moto sababu...
2 Reactions
103 Replies
8K Views
Huwezi kuamini jana nimelazimika kumkimbia demu hivihivi wakati tulikuwa katika hatua ya kutaka kuduu, kwani wakati tukifanya foreplay pamoja na mambo mengine si nikajaribu kuingiza kidole katika...
6 Reactions
64 Replies
7K Views
Habari wana JF, Naomba niwashirikishe hili kwa uchache.Itasaidia kiasi fulani. Yawezekana nimepost hili kutokana na woga wangu lakini nimeshuduhudia visa vitatu vinavyofanana katika mahali...
3 Reactions
99 Replies
11K Views
Kupenda kulala (kutembea au kufanya ngono ) na wapenzi wao hasa vichakani/ maporini au mafichoni / ila nje ya nyumba zetu au katikakatika magari yao na wengine ndani ya maji ya bahari hasa huku...
0 Reactions
82 Replies
11K Views
Habari za siku wadau, Mwenzenu hivi nimepata kibarua kigumu cha kuuguza mzazi. Nina wifi yangu kiumri ni kama anamiaka 25 huyu amejifungua kama ana siku 14 hivi,alisaidiwa na Dr mmoja mkaka na...
6 Reactions
56 Replies
8K Views
Wiki kama nne hivi zimepita niliomba namba ya msichana ambaye ninasoma naye chuo fulani hapa town. Baada ya kupewa ile namba nilikaa kama siku 9 hivi sijampigia maana nilikuwa nakosa confidence...
7 Reactions
74 Replies
12K Views
Vijana heshimuni viapo ndoa.
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari, Mimi ni mdada juzi nilikuwa kwa mpenzi wangu mara shemeji yangu akampigia simu mchumba wangu wakaongea , alivyomaliza kuongea yeye akanipa nami niongee na simu, alivyomaliza kuongea nami...
1 Reactions
140 Replies
39K Views
[emoji121] NI KWA NIA NJEMA TU, YA KUEPUKA MATATIZO YANAYOWEZA KUEPUKIKA. AU NIMEKOSEA WAKUU?? ---- @Seneta_Wa_Mtwiz.
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimewakuta majirani na ni marafiki na wife wanapiga stori, et aa siku hizi kuna ndoa? Siku hizi bwana usipochangamka shauri yako, siku hizi hakuna wanaume ni magumegume. Siku hizi inatakiwa...
2 Reactions
79 Replies
10K Views
Jambo hii nimeshindwa kupata ufumbuzi, ni ukweli usiopingika kuona baadhi ya familia zina watoto wazuri sana (afya, sura, maumbo na muonekano) lakini kuna baadhi unaweza sema kama mtoto ndio hawa...
1 Reactions
61 Replies
9K Views
Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo. umri kuanzia miaka 33 hadi 40 awe Mkristo Elimu kuanzia bachelor degree na...
20 Reactions
188 Replies
9K Views
Amani ya Bwana iwe kwenu watu wa mungu! Ivi wakuu,kinachowafanya hawa wanawake wanene kuwa ving'ang'anizi namna hii kwenye mapenzi ni nin?kuna ambae nilikutana nae mwanzoni mwa mwaka huu...
5 Reactions
107 Replies
14K Views
Wasaalamu wandugu na majamaa nipo kwenye wakati mgumu sana sasa hivi kimaisha....................kiasi kwamba najiona kama mtu aliyekosa raha maishani....najikuta muda mwingi nipo mpweke na mwenye...
1 Reactions
39 Replies
7K Views
Hamnaga kitu kibaya kama kuitwa baby na mtu ambaye hana kazi. Kinachotokea ni yeye kujiajiri kama Chief Muingiliaji Officer, kazi kuingilia maisha yako kwa maswali kila dakika kwa sababu hana...
5 Reactions
61 Replies
5K Views
Eti wana JF ni tabia ipi mbayo aliyonayo mkeo/mumeo/mpenzi wako ambayo huipendi na uwa inasababisha ata uchelewe kurudi home kisa iyo tabia? Mi sipendi tabia ya kuzira kila muda.
6 Reactions
237 Replies
28K Views
Hello! Mimi ni mwanamke Umri 34 Mkristo Mtumishi wa umma Elimu ya juu(degree) Sijawahi kuzaa koz sijaolewa. Natafuta mwenza awe mkristo, umri 35 mpka 50, awe mtafutaji karibu
8 Reactions
39 Replies
7K Views
Back
Top Bottom