neha mimi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 344
- 152
Habari zenu marafiki, nimekuwa najiuliza hivi hii ni tabia, desturi,sheria au kujiendekeza tuu.
Utakuta mdada anafanya kazi na anapata mshahara mzuri lakini mdada huyo kutwa kuomba hela kwa boyfriend mara baby hela ya saloon, cjui nguo na mengineyo.
Utajiuliza huyu hela zake anafanyia ninI, akiamua kukupa mwenyewe its okay ila sio kila saa utasema unamdai?
Wadada tubadilike jamani kuomba omba sana utazoeleka hata siku ukipata shida ya serious mtu atashindwa kukusaidia coz ni kawaida yako.
Wengine sasa sio hata kwa boyfriend tuu yaani yeye asikuzoee kidogo tu kosa kesho yake ataomba hela.
Hii ni tabia mbaya jamani tubadilikeni hata siku ikitokea umeomba hela mtu anashangaa anajua kweli umebanwa coz sio kawaida yako
Ni hayo tuu🙂