Wanandoa mnaweza kukubaliana na mm

Wanandoa mnaweza kukubaliana na mm

ngome

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
235
Reaction score
98
Hakuna shule yenye mitihani migumu kama ndoa na ndio maana unapewa cheti cha ndoa kwanza halafu mitihani yake unaikabili baadae kama ingeanza mitihani kwanza nina imani wengi wangetoroka shule na wachache sana wangefaulu kupata cheti cha ndoa "je kuna ukweli wowote katika hilo" wewe binafsi ni kipi ungependa kitangulie kati ya ndoa kwanza au cheti cha ndoa kwanza?
 
Mmmmmmh... Ngoja walioko na walioonja ndoa waje watuambie
 
matumizi ya cheti cha ndoa na cheti cha shule ni tofauti
sio kweli kwamba cheti kinatolewa kabla ya ndoa, bali cheti kinatolewa baada ya ndoa kufungwa
so ni sawa kabisa kupewa cheti siku ya ndoa...
 
tatizo watu wanafocus kwenye cheti na.kusahau dhima nzima ya ndoa.

Jali ndoa yako kwanza, cheti kipo tu. Hata kikiungua moto haimaabishi ndio mtaachana.
 
tatizo watu wanafocus kwenye cheti na.kusahau dhima nzima ya ndoa.

Jali ndoa yako kwanza, cheti kipo tu. Hata kikiungua moto haimaabishi ndio mtaachana.

hapo sawa kbisa
 
tatizo watu wanafocus kwenye cheti na.kusahau dhima nzima ya ndoa.

Jali ndoa yako kwanza, cheti kipo tu. Hata kikiungua moto haimaabishi ndio mtaachana.

Vijana wanaleta sababu tu za kutoachana na ukapela.

Ndoa tamu asikwambie mtu.
 
Back
Top Bottom