Ukweli kila binadamu anapenda kupendwa,,au kukubalika na jamii inayomzunguka, lakini tunaweza jikuta katika mazingira watu wengi hawakupendi au unachukiwa na watu wengi.
Mpaka kufikia hatua ya...
Natafuta mke mwema, mcha mungu mlutheri, mchagga, mweupe, awe anashughuli zake binafsi au ameajiriwa, awe na elimu ya kidato cha 4 tu na si zaidi.
Awe tayari kuanza maisha kuanzia ngazi ya chini...
Kila kukicha malalamiko kuhusu nguvu za kiume yamekuwa yakiongezeka, kundi kubwa la hawa watu wamekuwa ni wanaume wa mjini, hii ni kutokana na kwamba wanaume wengi wa mjini ni wabishi kufata hali...
Nimesoma thread ya Wiyelele anatafuta msaada wa nini afanye ampate mtoto wake aliezaa na mke wa mtu..imenishangaza jinsi wanawake wengi walivyomtaka 'asamehe na kusahau' inavyo onekana kwa...
Ukiona Mwanamke anaanza kuimba mashairi ya taarabu ndani ya nyumba ujue ni dalili za kukuchoka!, tena anaimba mistari mikali mikali. Yaani kila ukirudi unakutana na mistari mipya.
Wadau...
MTUNZI: HUSSEIN KULINDWA SEHEMU YA KWANZA MARA
baada ya kumaliza kupata chakula cha mchana, alielekea chumbani kwake kujipumzisha.
Huko alipumzika kitandani huku akiwa amefungulia radio yake na...
TAFADHALI kama una moyo mwepesi usiisome)
"Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa chini na...
Jamani habari za muda huu, nimeona ni wahusishe katika hili hasa baada ya humu jukwaani kuwepo na stori mbili tatu za wadada wakilalamika kuhusu wapenzi wao wa kiume kubadilika hasa kipindi cha...
Siku moja kaka huyu alimpata kike na baada ya kumsedusi kwa maneno matamu ya kumtoa nyoka pangoni ayasikilize, walipanga date ya ngono na kuagana wangeshambuliana kwa huyo mwanadada.
Kaka kusema...
Ndugu zanguni, ili kufanikisha furaha ya chumbani ni lazima chakula bora kiwe kinahusika.
Kuzingatia matatizo ya lishe tuliyonayo hasahasa kutokana na vyakula vyetu kuwa na upungufu mkubwa wa...
Enzi za Jando Na UnYago Wazee Walisema Mwanamke Anahitaji Malezi Makubwa Sana Ya KUthaminiwa Zaidi YA Yai Jitahidi Kumpenda, Kumheshimu, Kumbembeleza, Kumjali, Kumsikiliza, Kumsamehe Makosa...
Kijana mmoja aitwaye Dan aliyekuwa kapata mafanikio mazuri katika biashra yake alichukiwa sana na rafiki yake..
Rafiki yake alimwomba amkopeshe fedha jambo ambalo Dan alilifanya bila kinyongo...
Habarini wanajamvi.
Niko na stress sana this is the second time in my love life . Naona hiki kitu kinajirudia rudia Katika maisha yangu.
Mara ya kwanza nilikuwa na mahusiano yaliyodumu kwa...
Nimejisikia kusema hivi
Wakati namaliza form 4 baba yangu alisema elimu niliyonayo inatosha hawezi kusomeshea mwanaume Mke.
Nililia sana kidogo nijiue.
Mwishowe mama yangu akanitoa nyumbani...
Habari zenu za asubuhi wapendwa wangu.
Katika kutafakari sana nimejikuta nawaza haya
Kuna baadhi ya mambo unakutana nayo katika mahusiano, hasa pale yanapokuwa moto moto kuna vitu huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.