Kwanza kabisa natanguliza shukrani kwa jf nzima kwa namna inavyosaidia kubadilisha maisha yetu, jf ilinisaidia kupata kazi enzi hizo nimemaliza chuo kikuu.
Baada ya shukrani naomba mdada mzuri...
Miaka 10 ya ndoa yetu siku moja niliingia nyumbani nikamkuta mke wangu akiniandalia chakula cha usiku. Nilimshika mkono na kumwambia: "Nina jambo ninalotaka kukueleza."
Alikaa na kunisikiliza kwa...
Gossip frequently has a bad reputation. It is often
seen as vindictive and time wasting. Often though
it serves a valuable role. It helps people let off
steam, vent negative emotions and manage...
Jamani hawa voda wamenikera kweli..kufuta huduma ya my namba one...nilizoea kuongea na kidem changu cha 4m4 leo cku ya pili tunaishia kupeana hi..tu ..,.hafu..kifuruchi chako kimekwishaaaa...au...
Usije ukajidanganya kumuona mumeo au mkeo eti anarudi nyumbani mapema na weekend hatoki ukadhani uko salama.
Sasa hivi ile lunch time kuanzia saa saba mpaka nane huko maofisini ibilisi anakuwa...
Habari wandugu wa jukwaa hili.
Wajameni nimeambiwa na kusikia tabia walizonazo wanaume wengi waliolelewa na mzazi mmoja hasa Mama.
Kuwa ni wanaume wanaojali na kuthamini wake zao japo...
Najiuliza hivi mwanamke ili asijione hapewi mambo kwa wiki anahitaji mechi ngapi?
Maana kazi nifanyayo inanila muda na muda mwingine nalala saa nane usiku.
Sasa najiuliza nitakapo oa mwanamke...
Ninamaanisha wanaume au wavulana wapole, watulivu, wakimya, wasio na mbwembwe, wasio na makuu huwa hawakubaliki sana na wanawake au wasichana.
Inadhaniwa wasichana au wanawake wengi huwapenda...
Huffington Post limeripoti habari kutoka Uingereza ya kusikitisha ya kijana Rhys Culley kumng'ata vibaya midomo mpenzi wake Chanttelle Ward mwenye umri wa miaka 18 wakati anamkiss baada ya kuwa na...
Wiki mbili tatu zilizopita nilianzisha uhusiano na binti ambaye nilimtamani kama sio kumpenda.
Moyo wangu ulivutiwa na umbo lake na baada ya kuongea naye kidogo nikajisemea rohoni huyu ndio...
Kwa kweli kuna mademu wengine hawaeleweki kabisa, ivi inakuaje unamtongoza demu anakukatalia halafu unahamia kwa rafiki yake na rafiki yake anakupa tick na vema juu, halafu yule aliyekataa anaanza...
Mimi ni mdada nina miaka 32 natafuta marafiki wa ukweli wa jinsia zote wenye umri kati ya miaka 32 na kuendelea nafanyakazi,
Naishi dar tuwasiliane kupitia bintiwakikwere@gmail.com
Wadau habari zenu.
Binafsi toka nizaliwe na kukua hadi sasa sijawahi kusikia muhindi [indian] ameoana na Mtanzania yoyote.
Nilijaribu kuchunguza ni kwa nini? Jibu nilipata ni kuwa hawa watu ni...
Leo natoa darasa kwa wanawake waliokata tamaa kuolewa au wamefikia rika la kuolewa lakini hakuna mtu aliye wahi kutaka hata kuonyesha nia ya kukuoa.
Dada haujachelewa cha muhimu kubali...
Mpenzi wangu ananiambia anahamu ya kufanywa angali mimi nimechoka na kazi za ofisini niko choka mbaya huyu mzee hata akilazimishwa kusimama sidhani kama atatoa maji .
nifanyeje wadau ili asione...
Wewe me mwenzangu unadiriki kusema kwamba:- aaagh mi galadudu siwezi kumtambulisha kwa mke wangu na wala ctaki mazowea ya yeye kuja kuja kwangu maana haaminiki yule anaweza akamgegeda wife...
Jana jioni nimeipata hii: mke wa jirani ametonya rafiki yake wa karibu sana kuhusiana na siri ya kumtia kitanzini mumewe kuwa ni ndumba ambazo zimejaa kwenye kabati na ya kuwa kamwe hawezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.