Habarini wakuu, Miaka miwili iliyopita nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke ambaye tuliachana since 2012 sijakuwa na mawasiliano naye kwa muda mrefu sana.
Kuanzia mwezi mmoja uliopita...
Habari zenu wakuu. Naombeni mawazo yenu nimsaidie dada yangu maana yuko katika wakati mgumu wa kuamua.
Ni dada mwenye miaka 32, mtoto mmoja, elimu ya PHD.
Amekutana na mwanaume, mfanya biashara...
Habari wakuu.
Jamani mimi nina jakamoyo moja ambalo limekuwa likinitesa kitambo kidogo.
Issue iko hivi utakuta sister duu wa ukweli kiumbile na pengine anajua kutumia kiustadi pamba mwilini na...
Peter ni kijana mwenye umri wa miaka 19,ambaye anaishi pamoja na wazazi wake wote wawili.Ni kijana anaependa sana mambo ya kileo na hasa kukaa kwenye vijiwe na marafiki ambao wapo sawa na ki umri...
Naamini bila shaka wapo baadhi ya wanawake walioko hapa JF wanaweza kukiri kukutana na wanaume wenye hamu kubwa ya kushiriki tendo la kujamiiana kuliko kawaida.
Wanaweza wakawa ni wenzi wao au...
Ni hivi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilitegemea kumwoa mwaka huu ila alinisaliti na kuniacha baada ya muda nikapata mpenzi mwingine,kwa sasa ni mjamzito na nategemea kuishi nae.Nilipata ajali...
Habari.
Kwa moyo mweupe kabisaa bila kulazimishwa na mtu yoyote, nimeamua kupost huu uzi hapa nikiamini ntakuwa faraja kwa mmoja wa wahusika hawa.
Mwanaume ulieumizwa kimapenzi au kukosa furaha...
Tunaposema mtu anajali tunamaanisha anasimamia show muhimu kama kumtoa out, hela za barbershop, mavazi, vizawadi vya hapa na pale, perfume na mambo kibwena.
Sasa wewe mwenzangu kujali unadhani ni...
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.
wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana
Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time...
Ukiona uchumba zaidi ya miaka NNE just dump him.Kama yuko mkoani au Dar unatumiwa nauli kwa mpesa unapanda basi linakutingisha na jioni ukifika kifuatacho ITV hata hujakata kiu kwa soda,unapewa...
Je! Unajua kuwa mzunguko wa hedhi wa mwanamke, pia humsababishia mabadiliko ya uchaguzi wa mwanaume wa kuwa karibu naye? Mfano; baada ya hedhi mwanamke hupenda kukaa karibu na wanaume...
Bendi inaitwa foreigner na wimbo unaitwa heart turns to stone.
Wanaume wengi wamekua wakicheat huku wakijidanganya hamna kitu inaweza enda mbaya.
Mbaya zaidi wanafikiri kucheat ni haki yao...
kama una blackberry ambayo ina mep 0?
Yaani ina zero unlock attempts?
Mcheck huyu jamaa
0715353108 au 0756144060
Au Tembelea tovuti yake hapa
Kariakoo Online
Wanawake wachepukaji, jamani jaribuni kutunza heshima na siri za mambo ya ndani kwenu. Una mwambia mchepuko wako udhaifu wa mume wako ili iweje?
Nilikuwa nafanya udukuzi katika mfumo wetu wa...
Habari za mchana wana MMU! Mwenzenu kuna dada nilikutana nae kwenye sherehe fulani, nikafanya juu chini anipe mawasiliano yake ili nipate kwa kuanza pa kumfukuzia.
Binti akanipa namba, ni binti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.