Inasema yote

Inasema yote

Laser

Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
47
Reaction score
13

Attachments

  • 1411140312799.jpg
    1411140312799.jpg
    29.3 KB · Views: 341
:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 
Hapa kama mwanamke anamwambia mwanaume " mwangalie kwanza tumbo kubwa, umekalia kulewa tu hata sidiria unashindwa kuninunulia"
 

Sijaelewa

loading error

Hata mi cjaelewa hata kidogoo

Lugha ya picha ni mtihani mkubwa sana kwangu mie

hapo sipati story yoyote, napata confusion tu

Sema wewe , maana Mie ni dabo konfyusheni

View attachment 186520

Pamoja na utundu wa kung'amua nia halisi ya mleta mada bado nasuasua, nahisi wapo ktk barafu linaloyeyuka kutokana na kasi ya mhemko

Hiyo ni art kwanza kama ionekanavyo. Ila ukiangalia vizuri unapata story alokusudia mtengenezaji.

Ukimuangalia mwanaume anaonekana kwenye mavazi ya kizazi zaidi na hiyo suitcase inatuambia katoka safari ya kikazi.

Sasa baada ya kurudi nyumbani kwa mkewe, mkewe anampokea na kupita kwenye begi lake. Kwa bahati mbaya au nzuri akakutana na bra humo kitu ambacho kimemfanya ajae sumu na kwenda kumuwakia mmewe.

Mwisho, kwa hilo pozi alilokaa mwanaume na huyo mwanamke, tunaona kuwa mwanamke kakasirika na yuko anagomba hapo akitaka kujua hiyo sidiria imetoka wapi na kama kweli alikuwa safari ya kikazi au alitumia excuse hiyo kuchepuka. Mwanaume kanywea na anaonekana as guilt as mwanasiasa!!

Hapo je? Mmeipata picha au bado nyota tu??
 
Back
Top Bottom