Wasichana haya sio mambo badilikeni

Wasichana haya sio mambo badilikeni

bluecolour

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
201
Reaction score
98
Habari wakuu.

Jamani mimi nina jakamoyo moja ambalo limekuwa likinitesa kitambo kidogo.

Issue iko hivi utakuta sister duu wa ukweli kiumbile na pengine anajua kutumia kiustadi pamba mwilini na kila akipita hutoa watu udenda.

Tatizo ukiingia naye ghetto na kummenya viwalo hewa inachafuka ghafla na kufanana na ile ya dampo.

Unakuta demu umemsubiria kwa miezi 3 na kuendelea na ameshakula vyako vingi lakini kwa harufu kali na mbaya mzuka na ugwadu wote hukimbia haya yamenikuta kwa mademu kama watatu hivi.

Utamuona demu high classic ukimchojoa tuu unakumbuka akina doi wako wa uswahilini.

Ukweli mnaboa kina dada wenye tabia hii usafi ni muhimu katika mapenzi.

raha ya mwanamke atoe harufu ya maku,mi ndio hunipa mzuka zaidi.
 
mleta mada hao wako sio wale wa mazense au buguruni ambao wamekuja dar kwa shuguli hiyo maalum? lakini kama demu wa kawaida mbona harufu yake mzuka tu, wale wenye shuguli yao harufu huwa kali maana hawana muda hata wa kulala wala kuogo wanakimbizana na masaa ili asubuhi apige hesabu kulingana na wingi wa wateja.
 
Kuna wenzio wanaitafuta natural perfume hawaipati....

Anyway wakati unawatongoza huwa hupati zawadi za perfumes? Jadore, dior, fifth evenue zinahusika
 
Zimeanza tena thread za wadada?Mhhh!Mie nitakuwa msomaji tu
 
Loo!na ukome ila kama unampenda
mpeleke hospital ina maana ana maambukizi
ya fangus kuliko kuja kumdhalilisha hapa.Angekuwa dada yako si ungempeleka hospital na kumtibu
 
Ila hii issue waichukulie serious, wakaka wengi sana nakutana nao wanalalamika kuhusu hili jambo!!! usafi uanzie ndani jamani, sio kujipiga magucci wakati ndani ni hapatamaniki... mbaya zaidi ukiingia rum ndo wakwanza kuutega uende chumvini!!!!
 
mleta mada hao wako sio wale wa mazense au buguruni ambao wamekuja dar kwa shuguli hiyo maalum? lakini kama demu wa kawaida mbona harufu yake mzuka tu, wale wenye shuguli yao harufu huwa kali maana hawana muda hata wa kulala wala kuogo wanakimbizana na masaa ili asubuhi apige hesabu kulingana na wingi wa wateja.

Daah..! Nlikuwa Cjajua Mkuu Kama Ndio Vile Ila Ke Lazima Anukie Uturi Co Harufu Haijulikani Ni Panya Kafa, Dampo Au Kitu Gani..!
 
Inaonyesha unaharaka na mapenzi kumgegeda ehh..kama unajua tatizo lake unamwambia mapema aoge au ajisafishe kwanza ndio mwendele na next episode..
 
Loo!na ukome ila kama unampenda
mpeleke hospital ina maana ana maambukizi
ya fangus kuliko kuja kumdhalilisha hapa.Angekuwa dada yako si ungempeleka hospital na kumtibu

Duh..unasema angekuwa Dada yake..kwa hyo atajuaje dada yake anatoa harufu kali au anadoo na dada yake..
 
Back
Top Bottom