Je nimwache?

Je nimwache?

tian

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2007
Posts
1,770
Reaction score
538
Mpenzi wangu hataki nijue anapoishi, ila kwangu ameshafika, nikimuuliza kwanini hajawahi kunionyesha anapoishi, anadai anaishi na wadogo zake kwa hiyo sio vyema wakaniona, hapa nimeona dalili la penzi la kichina.
 
Mpe muda labda bado hajawa huru na wewe kwenda kukutambulisha kwao au kwa ndugu zake we mpe muda wala usimkumbushie tena mwenyew akikolea utamsikia baby unakuja lini hom na atakusumbua had itakuwa kero
 
Mpenzi Wangu Hataki Nijue Anapoishi,ila kwangu ameshafika,Nikimuuliza kwanini hajawahi kinionyesha anapoishi,anadai anaishi na wadogoze kwa hiyo sio vyema wakaniona,
Hapa Nimeona Dalili La Penzi La Kichina.

Ongeza maelezo kidogo nikupe elimu ya intelijensia kumbaini wapi anaishi, anafanya nini na kwanini akufiche.
We ulikutanae nae kwenye mazingira gani? je anafanya kazi? kazi gani?
 
haya tumekusikia. mwambie aje nayeye tusikie utetezi wake ili tufanye maamuzi na tukwambie umuache ama la!
 
Mpe muda labda bado hajawa huru na wewe kwenda kukutambulisha kwao au kwa ndugu zake we mpe muda wala usimkumbushie tena mwenyew akikolea utamsikia baby unakuja lini hom na atakusumbua had itakuwa kero

Ajifanye tu kuwa hana muda wa kujua wapi anaishi, mbona atajua tu? tatizo inaonekana jamaa anakomalia hapo tu.
 
Kubali uwe mchepuko, vinginevyo ingia mitini maana mpenzi hataki ujue maskani yake.
 
Mpe muda labda bado hajawa huru na wewe kwenda kukutambulisha kwao au kwa ndugu zake we mpe muda wala usimkumbushie tena mwenyew akikolea utamsikia baby unakuja lini hom na atakusumbua had itakuwa kero

Sizungumzii kwao,nazungumzia kwake anakoishi..

Wakwe na ndugu wengine najua ni last stage,ila yy hataki nijue anapokaa
 
Sizungumzii kwao,nazungumzia kwake anakoishi..

Wakwe na ndugu wengine najua ni last stage,ila yy hataki nijue anapokaa

Sasa ukishapajua anakoishi si ndo utajua na ndugu zake kama anaishi nao inshort huyo kuna jambo anaficha usikute ana mke
 
Mmmmmmmmh! Hawezi kukionesha! Huyo ni mtoto wa mjini perse!
Kuna mshikaji wanhu mmoja kuna getto tunakaaga! Watu wengi tu, ukijisikia shule imekubana labda unakuja getto kukamua, ukijisikia mumeo kakukeraa unakuja geto kujipumzisha, ukiwa na mchepuko wako unaaga unakuja geto afu unachepuka! Ni sehemu iko very busy 24/7. Watu wapo in transit! Kasoro wakusoma ndo wanakaaga specified time!

Sasa bwana kuna mdada alikuwa na tabia asipate ki bf anamleta getto! Basi kibingwa tunampisha sebleni tunajibana chumbani! Akawa anatuuliza mbona nyie hata siku moja hamuwaleti watu wenu hapa! Akajibiwa tu kiutani tuwalete ili mtege mende (tumchukulie)? Thubutuuuu! Mi nikamjibu i fancy hotels, maisha yenyewe mafupi, kama naliwa basi its a ritual nifaidi! (Hahaaaaa! Im grown these days) bottom line is yeye tu ndo analeta vibuzi pale!

Kilichokuja kumkuta akajua kwanini we dont fancy showing men where you live! Unakuta mtu wameachana kila siku anakuja kuomba warudiane getto! Basi wanagongana na mpya! Inakuwa purukushani! Inabidi tuanze kucheza mipicha kuokoa jahazi! Yaani usumbufu mtu anaibuka tu! Mpaka akahama pale getto! Tukamwambia huko kwako waoneshe uone kazi! Ujue watu wengine huwaambii kirahisi rahisi its over! Wanakomaaa!

I respect a guy anaekukaribisha kwake a lot! Ni some sort of heshima! Bt huys wengine mbwaaa mbwaaa! Nina msela wangu anafundisha chuo, basi ndo zake, wanafunzi anagongea home! Sasa basi wasichana tulivo naive kila anaeletwa anajua ndoa inanukia! Na hivi walimu wa vyuo wanalipwa fresh! Weeee! Sasa mi nilikiwa nikiwa stressed out naenda pale kunywa pombe za bure, kula, kutia hasara in return nampa pointers za kipata madem, na mpimp mademu, napika saa ingine, hivo! Wakija wadada anawaambia huyu dada yangu! Basi wanaliwa hatari! Mda mwengine 2 kwa siku! Nikamuuliza kwanini unawapanga huofii scandal? Yuko SINA GHARAMA ZA KUCHEZEA KULIPIA HOTEL ISSUE ZENYEWE NYINGI CHINI YA KIWANGO! Nikimpeleka hotel ale, aninywee hasara sanaa! Bora hapa anafua, anasafisha, anapika namla vile vile! Win win kwangu! Hahahahaaaaa! Watu mabandibu! Basi toka hapo mwanaume akinialika kwake nikienda ujue nimemuheshimu hatari!
 
Mpenzi Wangu Hataki Nijue Anapoishi,ila kwangu ameshafika,Nikimuuliza kwanini hajawahi kinionyesha anapoishi,anadai anaishi na wadogoze kwa hiyo sio vyema wakaniona,
Hapa Nimeona Dalili La Penzi La Kichina.

kwan ww n nan? Ke au Me
 
Mpenzi Wangu Hataki Nijue Anapoishi,ila kwangu ameshafika,Nikimuuliza kwanini hajawahi kinionyesha anapoishi,anadai anaishi na wadogoze kwa hiyo sio vyema wakaniona,
Hapa Nimeona Dalili La Penzi La Kichina.

Na kama anaishi na wadogo zake si ndo vizuri sasa ili uwafahamu hapo jiulize swali moja kwanini hataki wadogo zake wakufahamu je hilo ni kuhusu wadogo zake au kuna la zaidi
Ushauri wang; usisisitize sana kupafaham kwake muulize kwa nin hataki upafaham kwake kwa upole tu na sio kwa kumshutumu,mpe faida za wew kupajua kwake
Badili lifestlye kama mlizoea kukutana kwako mwambie saiv hamuwez tena kuonana kwako mpe sababu yoyote labda umepat wageni au nini endelea hivo kwa muda muwe mnaonana juu kwa ju u ila sio kwako...ni mawazo tu lakini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom