Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nipo katika maabara moja maarufu ya kutest reactivity za viasili vya binadamu tukifanya research ya kutatua matatizo mawili makubwa ya kimapenzi yanayowakumba watu wengi duniani: 1. Tunatengeneza...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Siku zote nilikuwa nausiwa usioe mwanamke mpole na kutolewa na mifano kaza wa kaza kuonyesha mwanamke mpole sio mzuri kuoa, Naamini katika Mapenzi/ndoa kuna matatizo ambayo ni kawaida kukutana...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kama ni kweli hawa watu sasa wamepitiliza. Shemeji yangu mmoja wa hiari, asubuhi hii kanitext kama ifuatavyo: "Shemeji za asubuhi, nina tatizo la siku nyingi kila nikitaka nikuambie huwa narudia...
1 Reactions
57 Replies
8K Views
Keep putting off a weight-loss routine? Better get moving now--or your brain may pay the price later. People who carry a lot of extra weight when they're young have a higher risk of developing...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu, Kwanza kabisa nawapongeza wote mlio oa na kuolewa Mungu awabariki muendelee kuijaza nchi(kuzaa) kama tulivyoagizwa. Binafsi nimefanya utafiti nikagundua kuwa vijana wengi...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa wapo wapenzi wanapendana sana. Ni ukweli usiopingika kuwa matamanio ya mwili ni vichocheo vya upendo na mapenzi. Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtu hapendi usaliti na...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kiukweli hili jambo linanitatiza sana, nashindwa pa kuanzia pindi ninapotaka kujiingiza kwenye mahusiano. Je ni lazima niwe na mahusiano ya kimapenzi na mtu wa dini yangu? Naomba maoni ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna uhusiano wowote kati ya kufanikiwa kimaisha na kuoa
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Naomba na miye leo nifunguke. Nina mwanaume tumekuwa kwenye uhusiano kimapenzi (namaanisha kimapenzi) kwa takriban mwaka mmoja sasa. Lakini tulijuana miaka mitatu iliyopita akiwa kama rafiki...
9 Reactions
147 Replies
16K Views
Going by the number of sexual complaints by women, one would be forgiven to think that lovemaking is exclusively a man's domain. Even in this day and age where FGM is no longer practiced and...
9 Reactions
65 Replies
10K Views
Jaman wanajamvi mim ni kijana mwenzenu, nilianza uhusiano na mdada flan tangu 2011wakati huo yeye alikua anasoma diploma chuo flan huko mkoan, mim nilikua first year chuo kipo hapa dar, baada ya...
0 Reactions
79 Replies
11K Views
Inakuwaje pale mdada ni rafiki yako lakini moyoni mwako amejaa na umemwambia lakini yeye anasisitiza muwe marafiki tu. Huku wewe moyoni unateketea Je waungwana inawezekana?
0 Reactions
64 Replies
8K Views
Naomba kuelewa maana ya mapenzi kuna nisemo mingi sana; mara mapenzi ni upofu, mapenzi ugonjwa moyo, wengine ni natural feelings sasa kwa nini si kwa watu wote na si kwa mtu mmoja...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu. Kwanza naomba niseme mimi si mpenzi na wala sipo katika mitandao ya kijamii (facebook, twitter na hiyo mingine). Sasa ilikuwa juzi natoka zangu mkoa nakuja dar “kwa pipa”...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hebu nisaidieni jamani huyu msichana ni rafiki yangu wa kawaida sana na tunaheshimiana sana ila naona anaanza vibweka nisivyovielewa ,juzi ameanza tabia ya kuniuliza uliza mara kaka umekula, mara...
3 Reactions
106 Replies
10K Views
KWA UFUPI Lakini kubwa zaidi ni tabia ambayo huendelea baada ya uhusiano huo kuvunjika. Hili ndilo balaa lililotuleta hapa mezani leo. Moja ya mambo yanayosumbua vichwa watu wengi walio kwenye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna mwalimu mmoja wa dini aliwahi kutueleza kuwa wanandoa wa kikristo ni lazima wakutane kimwili ndani ya saa 24 baada ya kutoka kanisani, laa sivyo hiyo ndoa ni batili na ni lazima warudi tena...
0 Reactions
81 Replies
16K Views
Hi GT, habari za Jumapili, embu tujadiliane; nini hasa chanzo cha mtoto kuitwa kwa jina la baba na si la mama? kuna madhara gani akiitwa kwa jina la mama? embu tujadiliana na wataalam wa...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Awe Na Umri Kati Ya Miaka 18 hadi 20, awe ni mkristu,na awe ni mtu wa kujielewa na kujitambua. tuwasiliane kwa Email: boniphace10@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina miaka 21 mimi ni mdada kuna mtu nampenda ila nashindwa kumwambia.
3 Reactions
71 Replies
18K Views
Back
Top Bottom