Chepukeni lakini mtutunzie heshima zetu

Chepukeni lakini mtutunzie heshima zetu

iMind

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,219
Reaction score
5,498
Wanawake wachepukaji, jamani jaribuni kutunza heshima na siri za mambo ya ndani kwenu. Una mwambia mchepuko wako udhaifu wa mume wako ili iweje?

Nilikuwa nafanya udukuzi katika mfumo wetu wa mawasiliano ofisini kwetu. The Big boss aliniomba ni screen emails zote zinazoingia na kutoka nje ya domain ya ofisi. Basi weekend hii ndo nilikuwa nazipitia kufind out na kuna mambo ambayo boss alikuwa ana hisi.

Nikakumbana na mawasiliano ya dada mmoja na mchepuko wake. Tobaa dada kamponda mumewe ile mbaya. Yaani hata kama ni kuoza kwa mapenzi thats too much. Halafu na mjua mumewe kwani huwa anakuja kumchukua job mara moja moja.

He is a descent guy, nimepatwa hasira utafikiri mimi ndo nimedhalilishwa.

Halafu kwa nini utumie E mail ya ofisi kwa mambo binafsi? Unafikiri ndo salama?

Policies za kampuni na organization nyingi zina ruhusu kufanya udukuzi kwa employees bila kutoa taarifa, kama nilivyofanya.
 
Aisee una gusts bana,hivi hujui kwamba the opposite sex huwa wanatumia kuponda MAIN ili waonekane bora Kwa SIDE,ila Ishu hii once ukijua it really hurts aisee moreover uko more than responsible na unatunisha ukiwa na mkeo ili uonekane bora kumbe yeye anaponda tu
 
Aisee hiyo ni noma..nakubaliana nawe kabisa,wanawake wengi wana kawaida ya kuponda waume wao kwa mchepuko. Mara yuko vile,mara yuko hivi,nk.

Hata akipata mpenzi mpya lazima amponde wa zamani,tena anamsema vibaya kweli.

Ukiwa na mwanamke akamponda jamaa yake wa zamani au mume wake tegemea na wewe atakuponda tu.
 
Wanawake wachepukaji, jamani jaribuni kutunza heshima na siri za mambo ya ndani kwenu. Una mwambia mchepuko wako udhaifu wa mume wako ili iweje?

Nilikuwa nafanya udukuzi katika mfumo wetu wa mawasiliano ofisini kwetu. The Big boss aliniomba ni screen emails zote zinazoingia na kutoka nje ya domain ya ofisi. Basi weekend hii ndo nilikuwa nazipitia kufind out na kuna mambo ambayo boss alikuwa ana hisi. Nikakumbana na mawasiliano ya dada mmoja na mchepuko wake. Tobaa dada kamponda mumewe ile mbaya. Yaani hata kama ni kuoza kwa mapenzi thats too much. Halafu na mjua mumewe kwani huwa anakuja kumchukua job mara moja moja. He is a descent guy, dahh. Nimepatwa hasira utafikiri mimi ndo nimedhalilishwa.

halafu kwa nini utumie email ya ofisi kwa mambo binafsi? Unafikiri ndo salama? Policies za kampuni na organization nyingi zina ruhusu kufanya udukuzi kwa employees bila kutoa taarifa, kama nilivyofanya.

huo ni umbea wa kuvujisha siri za watu mtandaoni hapo huoni atajisikia vibaya huyu mchepukaji dah ni sheedah..
 
huo ni umbea wa kuvujisha siri za watu mtandaoni hapo huoni atajisikia vibaya huyu mchepukaji dah ni sheedah..
Kwani nimetaja jina la mtu hapa au sehemu ya kazo? Akijijua ndo vizuri aache tabia hiyo. Mchepuko wa muda mfupi, ukiachana nae bado utaendelea kuwa na mume wako. Chepuka responsibly
 
Aisee hiyo ni noma..nakubaliana nawe kabisa,wanawake wengi wana kawaida ya kuponda waume wao kwa mchepuko. Mara yuko vile,mara yuko hivi,nk.

Hata akipata mpenzi mpya lazima amponde wa zamani,tena anamsema vibaya kweli.

Ukiwa na mwanamke akamponda jamaa yake wa zamani au mume wake tegemea na wewe atakuponda tu.

Alafu hivi ukimshamponda mumeo siku nae mchepuko mshamalizana anakukuta na mko na mumeo maisha yanaenda sijui mtu unajiskiaje kwa kweli...
 
aise ukipata mwanamke mjinga kwenye maisha inakua noma...mungu atuepushe

Aminaaa........nakuombea kheir ndugu yangu ila tambua duniani hakuna alie msafi ila tu kuna mipaka ndio maana mtoa mada hapo hakuweza sema watu wasichepuke (jambo ambalo haliwezekani kuwa control watu) ila tu HESHIMA ndio mpango mzima...
 
Lakini pia wana wa kiume wamekuwa na tabia ya kupenda kuchat na wake za watu. Hii tabia sio nzuri, ukishajua mtu kaolewa jaribu kukwepa mazungumzo yasiyo ya lazima. Baadhi ya wake za watu wanaumizwa huko, wanatafuta faraja kwa hiyo wakipata mtu wa kuchat nae "wanamwaga radhi"
 
Hata wanaume tabia hiyo wanayo sana...wanamueleza kimada udhaifu wa mkewe ndo maana nyumba ndogo nyingi wanakuwa wana jeuri,kwasababu anajua palipo kushindwa yeye anasawazisha tena taratibuuu na kistaraabu. Ndo maana utasikia mume katelekeza familia..
 
Policies za kampuni na organization nyingi zina ruhusu kufanya udukuzi kwa employees bila kutoa taarifa, kama nilivyofanya.
Mkuu I mind!, hawa dada zetu waache tuu, wanapokutana na kitu inaitwa "mikolezo" akili zao huwa zinawahama kabisa!.
Tena afadhali hiyo ya udukuzi tuu, nilifanya kazi ofisi fulani za "wenzetu" hawa, kila outgoing e-mail, a back copy is sent kwenye saver yao, kila print out, duplicate is printed mahali pengine!, na kubwa kuliko ni security cameras hadi "washrooms", masikini Waswahili hatujui!, kuna kibosile kimeajiriwa HR, hakijui hili wala lile!, kuna siku kimejipatia "zile huduma" kwa mdada cleaner!, kumbe security camera inarekodi kila kitu!. Kesho yake wakati security chief ana preview previos day security footage, walifanywa "senema!" ila ilifanywa siri, na ilijulikana baada ya huyo security kuutumia hiyo clip kwa mchepuko wake!.

Kwa kawaida security cameras hula zipo baadhi ya maeneo, lakini hii hadi washroom!.

Pasco
 
Hata wanaume tabia hiyo wanayo sana...wanamueleza kimada udhaifu wa mkewe ndo maana nyumba ndogo nyingi wanakuwa wana jeuri,kwasababu anajua palipo kushindwa yeye anasawazisha tena taratibuuu na kistaraabu. Ndo maana utasikia mume katelekeza familia..


LIMBWATA at works Heart
 
Last edited by a moderator:
Ni prblm sana kwenye eneo hili, wanandoa wanapooana tena uki preview siku wanafunga ndoa huwezi ukaamini kama kuna siku michepuko itaanza. Lakini hapa kitu ambacho naweza kusema ni kutoheshimu viapo vya ndoa na kutoheshimu ndoa zao!
 
Back
Top Bottom